Kweli pesa hazitoshi. The more you get the more desire

Kidawa_hiphop

Senior Member
Jul 7, 2018
168
254
Wakuu nimekubali baadhi yetu hatuwezi kuridhika 100% kwa tunachokipata.

Kuna kipindi nilitamani sana kama ningekuwa japokuwa na ka-take home ka 800k na baada ya kufanikiwa kupata nikaona hapa bado sana.Sasa hivi nina 1.6m kama take home na bado naona nahitaji kupata zaidi.Yaani najiona choka mbaya tu

Sasa leo nimejiuliza hivi kwa nini nisiishi tu kama vile napata 500k kwa mwezi badala ya kupandisha standards ili nipate mafanikio haraka?..nadhani nianze kufanya hivi.

Uzi tayari.
 
Ukiweza hiyo mbinu/adhma yako, urudi uje utupe na sisi maujanja..
 
Attachments

  • Screenshot_20231010-185847_OneDrive.jpg
    Screenshot_20231010-185847_OneDrive.jpg
    53 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231010-190222_OneDrive.jpg
    Screenshot_20231010-190222_OneDrive.jpg
    17.1 KB · Views: 3
Watu mna helaa ,,mm hapa Kwa akiba yangu Nina 5,800 yaan Zaid ya hii cna ppt miaaaa..

Na maishà n fresh tu..
 
Sijataka kukuaminisha,kwani mimi najuana na wewe physically??.nimejifungulia tu uzi humu jf where we dare to speak openly.Ila ulivyokuwa na tabia za roho mbaya unasema sina hata 250k,mijitu mingine bana.
😂😂😂 Usicho kijua ni kutochukulia jf serious nimeandika kama utani tu japo kimikazo ila kwakua imepenya naona umeleta hadi uthibitisho. Ungekua kwamba hatujuani ungeishia kusema sawa sionlazima hizo picha za hela yako😂😂😂 huenda kweli hata hiyo 250 huna
 
Wakuu nimekubali baadhi yetu hatuwezi kuridhika 100% kwa tunachokipata.

Kuna kipindi nilitamani sana kama ningekuwa japokuwa na ka-take home ka 800k na baada ya kufanikiwa kupata nikaona hapa bado sana.Sasa hivi nina 1.6m kama take home na bado naona nahitaji kupata zaidi.Yaani najiona choka mbaya tu

Sasa leo nimejiuliza hivi kwa nini nisiishi tu kama vile napata 500k kwa mwezi badala ya kupandisha standards ili nipate mafanikio haraka?..nadhani nianze kufanya hivi.

Uzi tayari.
ungekuwa mfanyabiashara ingewezekana maana bilionea ili aweze kumaintain ubilionea wake inabidi aishi ki milionea.
 
Mhubiri 5:10

Biblia Habari Njema (BHN)
Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala apendaye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni ubatili kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom