Kweli mnawalipa hivi watawala wenu? Kwa wanaojua hesabu

Mzee Mwanakijiji

Kwa hesabu rahisi kabisa ni 20*524*1,000,000=?


Zidisha mara kumi na mbili utapata jibu sahihi unaweza kabisa ukamua kutomsalimia mtu milele.

Yaani 12*542*1,000,000=?

ukimaliza tafuta lile Jedwali la Yule Mwalimu Bakari wa Mzumbe then utaniambia kama tunashindwa kufanya maamuzi magumu

Ndiyo Mkapa aliweza kufanya maamuzi magumu(rejea hotuba aliyoitoa Muungwana huko Msumbiji) na Jana Davi Cameron kaamua kupuinguza asilimia Tano ya mishahara ya Mawaziri wote na yeye Mwenyewe.

Tuone kama Kikwete naye kufuatia punguzo la karibu shilingi 300 bilioni toka nchi za wafadhili katika bajeti yetu ya 2010/2011 atapunguza 10% ya mshahara wake, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.

 
Back
Top Bottom