kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

punguza expectation kubwa kwa male spp; learn to use them hitaumia asilani. Haijalishi umri they r all true sons of their fathers!
 
nimechoka nimechoka kwani mimi nina kosa gani bwana?

Jamani, lol unatia huruma ka-Smile ka watu!! Msamehe tu bure mwaya....huna kosa ila wakati mwingine huwa hatujui thamani iliyoko ndani yenu

Sasa na wewe usikubali mtego huo wa kushindwa kujua kuwa una thamani kubwa sana isiyofaa kuwa mke wa 7

Usichokeeeeeeeeeee
 
heri nitafute lizee nizae nalo hata watoto wangu watakuja kuniangalia huko mbeleni potelea kule sitaki tena nimechoka nije kufa pressure mtoto mdogo mimi wazazi wangu wamenisomesha kwa shida kwanza nife nini kisa mapenzi
 
Ili usiteseke moyo wako mpende mwanaume kwa 50% ikibidi less than that.
 
Nafikili we bibie huenda unayo matatizo.
Hisije kuwa we ndo wawatesa vijana na kuamua kukupotezea kuwa mkweli kwa vijna kuliko kuwadanganya wazee.
 
Usifanye hivyo mpendwa lazima Mungu kakuandalia wa kwako
Is the matter of time tu am telling you
Am experiencing the same situation but sijakata tamaa najua ntampata wa kwangu kutoka kwa Mungu
 
hayupo ananipenda nimechoka bwana kweli nimechoka
Kabla ya kusubiri anayekupenda kwanza jipende mwenyewe. Usiruhusu wakuvunje moyo kila siku. Badala ya kuyachukulia maneno na ahadi zao kuwa ni "sweet melody to your ears", take them as "another big lie from a big lier". You've already hard that song ta dozen of times. Love yourself dear and none will dare hurt you!
 
FYI Love ipo... You just have to be patient, Sio kila unapo fail in a relationship uingie nyingine... Give yourself some "ME" Time.
sitaki tena ngoja nianze tu maisha mapya ya upande wa pili
 
Kabla ya kusubiri anayekupenda kwanza jipende mwenyewe. Usiruhusu wakuvunje moyo kila siku. Badala ya kuyachukulia maneno na ahadi zao kuwa ni "sweet melody to your ears", take them as "another big lie from a big lier". You've already hard that song ta dozen of times. Love yourself dear and none will dare hurt you!
najipenda sana na ndo maana nimeamua hvo acha moyo wangu upumzike kidogo
 
Usifanye hivyo mpendwa lazima Mungu kakuandalia wa kwako
Is the matter of time tu am telling you
Am experiencing the same situation but sijakata tamaa najua ntampata wa kwangu kutoka kwa Mungu

We na yeye mkikutana mtakuwa wapenzi wadhati.Nakushauri kutupa ndowano
 
Ngoja nikope maneno ya PDidy

Dont give up;
whatever situation your in.whatever challenges are;dont know god knows
just know every situation you pass is the way of god correction

aijalishi unamatatizo kiasi gani nakupa uhakika leooooo leooooooooo read this
matatizo yako yataondoka usikate tamaa ..akuna kuta tamaa mungu yupo anakuona na anasikia kilio chako..yawezekana umehangaika sana na wanga kuoa ama kuolewa..yawezekana kwenue mna spirit ya rejection kila unapopata mwenza wako anafikia stage ya mwisho anachapa lapa...hayo sio mapenzi ya mungu kabisa kabisa

leo nasema leoooooooo siitaji pesa yako naitaji imani yakoooooo naomba kwa ajili ya watu najua wewe mmoja wapo
naomba usiache kusali na wala usikate tamaaaaaaaaa mungu yupo...yeye ni yule jana na leo na hata milele yuko alive

godbless you !!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-whatever-situation-your-in-dont-give-up.html
 
How can she do that?
There's a saying which goes "You must know how to swim and protect your clothes not to get wet".
So, by dividing love in proportions: 50% for yourself, 30% for the beloved and 20% as "savings" for whatever will happen; at the end of the day, you have 70% of love for yourself.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom