kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,611
heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali
 
Moyo ulio poteza matumaini,kwanini usitulie na umwamini Mungu kusubiri
nyama yako (ukiwa ni ubavu wake)?

Pole sana,lakini tembea katika njia sahihi kama unataka
kufika kaanani
 
If you think dating with people above your age is what satisfies you, then you need counselling. I submit
 
siitaji msaada wowote potelea mbali litakalonikuta

You can't be serious Smile....hebu smile kwanza, halafu shusha glass ya maji hapo ushushe pumzi then futa hiyo universal principle yako ya vijana

Bado hujastahili kufikia hapo, naona umejilazimisha kufikia huko
 
sina la kufanya tena mkuu we subiri utaona
 
duu,mpaka kuleta huku watakuwa wametesa sana moyo wako,zaidi wa wema!pole
 
sina la kufanya tena mkuu we subiri utaona

Me naogopa kuona bana, hebu ishia hapo hapo usiendelee huko mbeleni nisije nikalia bure

love? there is no love in this word sis

C'on my dear, come to your own senses, tulia heal yourself and be positive kisha utajitambua kuwa wewe ni wa thamani zaidi hata ya hayo mawazo unayojiwazia......khaaaa!1 yaaani mdada mzuri kama weye eti kwa jibabu fulani la jibibi fulani...akhuuu, sikubali, haifai kabisa
 
Smile, hebu kwanza jirejeshe katika avatar yako - Smile - Tabasamu: Kutababsamu kunaufurahisha moyo na kuifanya siku iwe nzuri. Sio vizuri kuianza siku na wiki ukiwa umenuna.
Iwe kijana au kibabu, ikiwa wote hawana mapenzi na wewe, hawakustahiki. Vijana watakudanganya na kukuahidi mambo milioni; vibabu watakuwa wanakunua. Utu wako hauuzwi kwa thamani yoyote ile. Wote ni mabazazi. Wote wanastahiki jawabu moja tu: NO! I'm Smile and my Smile will lead me to the correct way". Amini kuwa penzi la kweli lipo na lipo kwa ajili yako. Achana nao, subiri, yupo akupendae!
 
Me naogopa kuona bana, hebu ishia hapo hapo usiendelee huko mbeleni nisije nikalia bure

C'on my dear, come to your own senses, tulia heal yourself and be positive kisha utajitambua kuwa wewe ni wa thamani zaidi hata ya hayo mawazo unayojiwazia......khaaaa!1 yaaani mdada mzuri kama weye eti kwa jibabu fulani la jibibi fulani...akhuuu, sikubali, haifai kabisa
nimechoka nimechoka kwani mimi nina kosa gani bwana?
 
Smile, hebu kwanza jirejeshe katika avatar yako - Smile - Tabasamu: Kutababsamu kunaufurahisha moyo na kuifanya siku iwe nzuri. Sio vizuri kuianza siku na wiki ukiwa umenuna.
Iwe kijana au kibabu, ikiwa wote hawana mapenzi na wewe, hawakustahiki. Vijana watakudanganya na kukuahidi mambo milioni; vibabu watakuwa wanakunua. Utu wako hauuzwi kwa thamani yoyote ile. Wote ni mabazazi. Wote wanastahiki jawabu moja tu: NO! I'm Smile and my Smile will lead me to the correct way". Amini kuwa penzi la kweli lipo na lipo kwa ajili yako. Achana nao, subiri, yupo akupendae!
hayupo ananipenda nimechoka bwana kweli nimechoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom