kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

maisha ni haya haya mkuu hamna cha kesho wala nini mimi below 40 mimi ni no mimi na wazee tu heri nifaidi hata mahela
vijana hela hawana na mapenzi hawana wa nini heri wazee unafaidi vyote

Hahaaaaa, you made me Smile and lough loud........utakula mahela halafu yanaweza tu kukutokea puani keshokutwa, haya mambo bwana haya we acha tu, hayana mdhamana haya na hata ukitaka kuyatafutia mdhamana yanaweza kugoma
 
Da, Husninyo kwan hujui ki-small house chafaidi kuliko nyumba kubwa, tuacheni sie, tushafanya maamuzi, tena mepesi.

Halafu we Zinduna ntakuchapa weweeeeeee, hebu acha kumpoteza mwenzako......huyu Smile huyu hafai kabisa vibabu...bora umwambie akawe sister lol
 
kila mtu anakufa bwana awe mzee au kijana hata watoto wachanga wanakufa mbona? sijali nitawalea watoto wangu mwenyewe mwenyewe

Una akili weye, hivyo hivyo, kila mtu na maisha yake bi dada.
 
I am just afraid that, hata hao wazee wanaweza kukuonja wakatimua!! Kuna watu huwa hawataki kuwaeleza wenzao ukweli kwenye mahusiano. Ngoja nikuambie kitu lakini si lazima kiwe 100% correct, "Yawezekana kuna tatizo namna unavyozihandle hizo relationships au watu/men hawafurahishwi na mashine yako kutokana na jinsi ilivyo, hiyo ilishanitokea mara nyingi tena sana mwanaume unakuwa na expectation kubwa na mashine ya mtu unayemfukuzia matokeo yake unakutana na kitu cha ajabu". Cha kufanya, najichukulia mwenyewe! kama mashine yako sijaipenda na hunionyeshi mambo extra, napata shida sana. lakini ukinionyesha vitu extra, utakuwa umemaliza mchezo, I will stick to you baby.

So mind my word, kuna hilo suala la machine, masharobaro wengi wanawakimbia/mwaga mademu kwa sababu either ya machine zao au tabia (kutaka kuweka ubeijing kwenye vitu vidogo vidogo mapema kabla hata hamjafika mbali kitu ambacho masharo bado hawajawa tayari kuukubali ubeijing si bongo tu hata ulaya). Hata hao wazee, utakayempata naimani utalazimika kufanya mambo extra ambayo unaweza kuyafanya kwa vijana wenzako na ukafurahia maisha.
 
Halafu we Zinduna ntakuchapa weweeeeeee, hebu acha kumpoteza mwenzako......huyu Smile huyu hafai kabisa vibabu...bora umwambie akawe sister lol

he he heeeeeeeeeee, ulikuwa wamtamani nini Smile shoga yangu! basi ndo tetere kesharuka huyo, umeachiwa manyoya, hebu pumzikeni vibabu navyo vifaidi mweh!
 
I am just afraid that, hata hao wazee wanaweza kukuonja wakatimua!! Kuna watu huwa hawataki kuwaeleza wenzao ukweli kwenye mahusiano. Ngoja nikuambie kitu lakini si lazima kiwe 100% correct, "Yawezekana kuna tatizo namna unavyozihandle hizo relationships au watu/men hawafurahishwi na mashine yako kutokana na jinsi ilivyo, hiyo ilishanitokea mara nyingi tena sana mwanaume unakuwa na expectation kubwa na mashine ya mtu unayemfukuzia matokeo yake unakutana na kitu cha ajabu". Cha kufanya, najichukulia mwenyewe! kama mashine yako sijaipenda na hunionyeshi mambo extra, napata shida sana. lakini ukinionyesha vitu extra, utakuwa umemaliza mchezo, I will stick to you baby.

So mind my word, kuna hilo suala la machine, masharobaro wengi wanawakimbia/mwaga mademu kwa sababu either ya machine zao au tabia (kutaka kuweka ubeijing kwenye vitu vidogo vidogo mapema kabla hata hamjafika mbali kitu ambacho masharo bado hawajawa tayari kuukubali ubeijing si bongo tu hata ulaya). Hata hao wazee, utakayempata naimani utalazimika kufanya mambo extra ambayo unaweza kuyafanya kwa vijana wenzako na ukafurahia maisha.

If you want to eat frog, it the big frog! unafikiri sie wajinga ki hivyo, tunatafuta kizee kinakupeleka show room, kisha kinakununulia asset kibao na mtaji wa biashara juu, ikiwezekana na kiwanja kama sio nyumba, kesho kikisepa ina hu!
 
he he heeeeeeeeeee, ulikuwa wamtamani nini Smile shoga yangu! basi ndo tetere kesharuka huyo, umeachiwa manyoya, hebu pumzikeni vibabu navyo vifaidi mweh!

Halafu unantibulia ujue!!!!!!!!!

Hivi vibabu vishafaidi mama zetu halafu mnataka tena vifaidi na nyie? Sasa sie tuishie kubaka vitoto au?
 
If you want to eat frog, it the big frog! unafikiri sie wajinga ki hivyo, tunatafuta kizee kinakupeleka show room, kisha kinakununulia asset kibao na mtaji wa biashara juu, ikiwezekana na kiwanja kama sio nyumba, kesho kikisepa ina hu!
kweli hawana hata shukrani hawa masharo potelea kule nakujoin soon kwenye chama zinduna tena natoka na mzungu kabisa
 
heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali
pole mamyy! lakini si nilishakwambia SURUALI ZOTE NI PASUA KICHWA awe babu kijana wote mulemule!!
 
mwisho ikawaje.

:washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:

Huyu hajapotea bado, atarudi tu na kutulia moyo.....

Bahati mbaya sijasikia kauli za vibabu vya JF humu, au wao ndo kimya kimya chini chini kwenye PM.....Hahaaaa, maana vizee vya siku hizi viko strategic bana, usivipimie
 
sitaki hata vya mtandao huku ninao kibao wananimendea nafanya tu kupick
 
haina shida heri na mama flani awepo anisaidie kwanza mwanaume huwezi kumridhisha mwenyewe

Mweee kweli huyo jamaa kakukera vya kutosha..............Pole huwezi kumridhisha mwanaume mwenyewe?? Mmhh haya bana

Off topic: Mbona unaandika kama Bebii au mko mpacha???
 
Mweee kweli huyo jamaa kakukera vya kutosha..............Pole huwezi kumridhisha mwanaume mwenyewe?? Mmhh haya banaOff topic: Mbona unaandika kama Bebii au mko mpacha???
samahani kwa kumjibia DA ni jina lake la ubatizo from bebii to smile hukuwepo kwenye sherehe yake kwan??mbona kadi ziligawiwa humu kama njugu?
 
kwanini watu ni waongo? na wanafiki au wanadhani kuna mtu ana roho ya chuma jamani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom