Kweli Lowassa na RA wana nguvu

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.
 
Sera za Magamba zimebackfire!
 
Tatizo la Nape hapangi mashambulizi kwa uweledi! anashambulia pande zote mbili ( wapinzani ndani ya chama cha magamba na wapinzani wake nchi ya ccm) wakati hajajipanga kimkakati. Na hili nitamsumbua sana kama hatabadilika, WEWE UNA RUNGU UNAENDA KUMSHAMBULIA MTU MWENYE AK47? Apange mikakati yake vizuri na aache kuropoka ropoka hovyo, hiyo nafasi aliyopewa isimchanganye akili, atulie awatumie hata wazee wenye busara kumshauri kabla ya kuropoka. KUROPOKA KUMEMWANGUSHA CHALI MAKAMBA OOH!
 
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.

Wana nguvu ya ajabu! Hata wewe mzee wa gamba unaona nguvu zao na thread juu!
 
unakumbuka kauli ya waziri mkuu bungeni kuhusu mafisadi wakati wa majibu ha hapo kwa hapo?
 
Tatizo la Nape hapangi mashambulizi kwa uweledi! anashambulia pande zote mbili ( wapinzani ndani ya chama cha magamba na wapinzani wake nchi ya ccm) wakati hajajipanga kimkakati. Na hili nitamsumbua sana kama hatabadilika, WEWE UNA RUNGU UNAENDA KUMSHAMBULIA MTU MWENYE AK47? Apange mikakati yake vizuri na aache kuropoka ropoka hovyo, hiyo nafasi aliyopewa isimchanganye akili, atulie awatumie hata wazee wenye busara kumshauri kabla ya kuropoka. KUROPOKA KUMEMWANGUSHA CHALI MAKAMBA OOH!

Nafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?
 
Wapinzani walianza kuushambulia unafiki wake wa siku 90 unavyoona wewe toka achaguliwe kafanya kitu gani kama si uvuvuzela tu mwisho wake tumejua kumbe yeye ni katibu mwenezi wa CCJ na si CCM tena.
 
Nitazidi kum-blame Nape kwa mwendo alioanza nao, he had no positive tactics za kudili na hao watu. They are capable, intelligent, wealthy, well organised, powerfull, very strong-political wise, decissive & visionery.
Although Nape is young and energetic...muda wake bado wa kuwayumbisha au kuwanyooshea vidole hao wababe, wanamihimili almost ktk kila tasisi ya dola ya nchini mwetu.
 
Ukweli ni kwamba Nape hakushambuliwa na Wapinzani like Chadema . Chadema wao walikataa uongo wa kusema wanajivua gamba bila ya kumtaja Nape . Nape alio ona watu wana hoji kujivua gamba akaanza kumshambulia Slaa na mshahara wake . Watu wakamuona hana akili wakamkanya lakini akazidi kuonyesha yeye ni CCM damu ndipo watu wakaamua kusema uozo wake lakini before hakuna aliye mgusa Nape kama yeye bali walipinga kujivua gamba kwamba ni unafiki . Nadhani hapa ndipo Nape alianza kuharibu kumshambulia Slaa na sasa kesha pata majibu . Anangojewa apinge kama hakuwa mwanzilishi wa CCJ
 
Nitazidi kum-blame Nape kwa mwendo alioanza nao, he had no positive tactics za kudili na hao watu. They are capable, intelligent, wealthy, well organised, powerfull, very strong-political wise, decissive & visionery.
Although Nape is young and energetic...muda wake bado wa kuwayumbisha au kuwanyooshea vidole hao wababe, wanamihimili almost ktk kila tasisi ya dola ya nchini mwetu.
Well said mkuu kudili na hao jamaa inabidi uwe umejipanga haswa hata Chadema huwa hawaendi kichwa kichwa kwa hao jamaa sasa katibu mwenezi wa CCJ alipopewa rungu akafikiri linaua kila kitu.
 
Nafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?

walitaka waone matokeo ya kujivua gamba! sasa gamba ndani ya ccm ni kamati kuu tu? kama hata hao wachache waliosema wamejivua gamba lakini bado wameshindwa kuwapa barua kama Nape alivyosema, sasa huko kwingine wataweza?
HA HAAA HAAAA, ETI NAPE ANAKATA M BUYU KWA KISU!!!!! HIZO NI AKILI AU MATOPE!!!!
 
yaani game linakuwa tamu mno sababu EL, RA na EC hawajawahi kutoa kauii yoyote tangu dhana ya gamba na ujivuaji ianze, hawa jamaa wako fiti idara zote kama mdau alivyosema hapo juu, hawakuruki na CCM lazima ijiulize namna ya kuwaanza, bila tactics za kisomi na zilizofanyikwa simulations lazima ngoma i bounce back. Haya benchi la ufundi CCM kazi kwenu.
 
Hawana nguvu zozote ila kuna tatizo au udhaifu katika kutekeleza maazimio ndani ya chama tawala na ndani ya serikali, na hapo ndipo matatizo ya nchi yetu yalipo, kwamba maazimio na mipango huwa ni mizuri sana, utekelezaji zero.
 
Nitazidi kum-blame Nape kwa mwendo alioanza nao, he had no positive tactics za kudili na hao watu. They are capable, intelligent, wealthy, well organised, powerfull, very strong-political wise, decissive & visionery.
Although Nape is young and energetic...muda wake bado wa kuwayumbisha au kuwanyooshea vidole hao wababe, wanamihimili almost ktk kila tasisi ya dola ya nchini mwetu.

Wow, I can see
 
Hawana nguvu zozote ila kuna tatizo au udhaifu katika kutekeleza maazimio ndani ya chama tawala na ndani ya serikali, na hapo ndipo matatizo ya nchi yetu yalipo, kwamba maazimio na mipango huwa ni mizuri sana, utekelezaji zero.

Lakini unaona mashambulizi dhidi ya Nape yanatoka wapi??
 
Back
Top Bottom