Kweli Lowassa na RA wana nguvu

Ukweli ni kwamba Nape hakushambuliwa na Wapinzani like Chadema . Chadema wao walikataa uongo wa kusema wanajivua gamba bila ya kumtaja Nape . Nape alio ona watu wana hoji kujivua gamba akaanza kumshambulia Slaa na mshahara wake . Watu wakamuona hana akili wakamkanya lakini akazidi kuonyesha yeye ni CCM damu ndipo watu wakaamua kusema uozo wake lakini before hakuna aliye mgusa Nape kama yeye bali walipinga kujivua gamba kwamba ni unafiki . Nadhani hapa ndipo Nape alianza kuharibu kumshambulia Slaa na sasa kesha pata majibu . Anangojewa apinge kama hakuwa mwanzilishi wa CCJ

Slaa ndo alianza kuvuruga mkakati wa Nape , yani kesho yake tu kutaja listi ndefuuuuuuuu, Lowasa nomaa
 
Lakini unaona mashambulizi dhidi ya Nape yanatoka wapi??

Nape anapigwa double boxing - toka kambi ya aliowaita mafisadi ya kuwapa 90 days na pia toka CHADEMA baada ya kutoa shutma za ufisadi ambazo hakuzipangilia vizuri.

Aina hii ya boxing inaruhusiwa katika siasa tu ila katika masumbwi inabidi NAPE aondolewe ulingoni maana ni hatari sana.
 
Hapo amewataja tu mafisadi bila majina, je wakifikishwa mahakamani kweli nchi itachomeka.
 
nape tayari keshawekwa kati mbele kuna mafisadi wa ccm na nyuma kachokoza mwenyewe toka kwa wapinzani. wote wana mashambulizi makali sana kwake, namsikitia sijui atatokaje kwenye mtego huo.
 
nape tayari keshawekwa kati mbele kuna mafisadi wa ccm na nyuma kachokoza mwenyewe toka kwa wapinzani. wote wana mashambulizi makali sana kwake, namsikitia sijui atatokaje kwenye mtego huo.

KWa maneno mawili tunaweza sema Mafisadi noma
 
Nafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?

Kwa sababu anaongelea CCM wakati ukweli yeye ni CCJ
 
nape kawekwa kati mbele mafisadi wanamshambulia sana na pia wapinzani wanamshambulia ile mbaya sijui atatokaje hapo........lakini kayataka mwenyewe
 
nape kawekwa kati mbele mafisadi wanamshambulia sana na pia wapinzani wanamshambulia ile mbaya sijui atatokaje hapo........lakini kayataka mwenyewe

Ni kweli kayataka mwenyewe, kutaja mafisadi. Mashambulizi yanatisha
 
nape kawekwa kati mbele mafisadi wanamshambulia sana na pia wapinzani wanamshambulia ile mbaya sijui atatokaje hapo........lakini kayataka mwenyewe

mafisadi wamekuja na mkakati wa kushirikiana na chadema. Tulisema chadema si lolote kupinga ufisadi, badala ya kukijenga chama chao wanawatumikia ra na el kumpinga nape. Yote kwa yote mwisho cdm na mafisadi watakufa kifo cha mende!
 
Wote wanagombea KULA tu.Hakuna hata mmoja mweye dhamira hasa ya kuwakomboa watanzania masikini bila kwanza kujaza tumbo lake
 
Unatakiwa kuwa makini kwenye hili jambo vinginevyo utachanganya mapambano ya Nape na wanaCCM wenzake wanaoitana magamba na mpambano unaoendelea kati ya CHADEMA na CCM ikiongozwa na mropokaji wake Nape.
Nape alitakiwa kufanya "STRATEGIC EXCLUSION"yeye akakurupuka kutangaza vita na makundi mawili tofauti kinachomkuta ni mashambulizi ya ndani na nje.
 
Pambana Nape pambana....siasa zinataka hivyo.

Apambane tu ila ajue siasa zinataka umakini na strategies sio kukurupuka na kuropoka hovyo hovyo. Anatakiwa awe na mkakati na ajipange vizuri anataka kufanya nini, sio kuleta siasa za mipasho na zisizo na tija, hizo awaachie akina Tambwe Hiza. Lazima tukubali kwamba wananchi wa sasa sio wakudanganywa tena na kuletewa siasa za kitapeli, na hakuna mwananchi au mwanachama wa CCM mwenye mapenzi ya dhati na CCM, wanaokishabikia hiki chama cha magamba ni wale wanaonufaika nacho tu!
 
Slaa ndo alianza kuvuruga mkakati wa Nape , yani kesho yake tu kutaja listi ndefuuuuuuuu, Lowasa nomaa

Lengo la mtoa mada ni kutaka kuonesha kuwa mafisadi wanawatumia CDM kumshambulia Nape, CCM mlitaka kuudanganya uma kuwa hao mapacha wenu watatu ndiyo mafisadi pekee, Slaa akawawahi kabla hamajipanga vizuri akawapa list ndefu ili mtimuane wote. Sasa hilo limemuuma nape, ametangaza vita rasmi na Dr. Slaa, wacha apewe dozi, si kataka mwenyewe.
 
Nape ni Mjinga fulani na utoto juu....

Wee katika CCM yoote, ndiyo wewe uje upewe cheo kama hicho? Kwa kitu gani hasa ulichokifanya?

Haoni yule Mwenyekiti wa UVCCM walivyompa ndoano akaila na muda ulipofika akataka kujifanya mjanja, wakamtema.

Sijui kuna mijitu huwa haifikiri dunia hii? Unaona kabisa unasakiziwa kwa muda tu na wakitimiza wanalolitaka watakutema.

Ningelipenda kumpa mawaidha mazuri Nape kuwa ajifunze ku-CONCENTRATE na vita moja ndiyo ahamie nyingine na si kufanya vita mbele na nyuma.

Napendekeza tumpeleke CONCENTRATION CAMP.

Nazi%20Concentration%20Camp5.GIF
 
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.

... roger that!
By the way I was just wondering.... hii ya kukosa umeme ati kwa sababu ya ukarabati wa visima vya Pan African Energy wanaotuuzia gesi yetu wenyewe kuna mkono wa hawa jamaa??
 
Lengo la mtoa mada ni kutaka kuonesha kuwa mafisadi wanawatumia CDM kumshambulia Nape, CCM mlitaka kuudanganya uma kuwa hao mapacha wenu watatu ndiyo mafisadi pekee, Slaa akawawahi kabla hamajipanga vizuri akawapa list ndefu ili mtimuane wote. Sasa hilo limemuuma nape, ametangaza vita rasmi na Dr. Slaa, wacha apewe dozi, si kataka mwenyewe.
Kumbe na wewe umeliona lengo lake wengine tulimjua tokea mwanzo si wala EL na RA wana nguvu.
 
Back
Top Bottom