Kweli Lema ni kiboko

ukitaka kutushika kubaya watu wa arusha ongea chochote kibaya dhidi ya rais wa arachuga uone..!
 
Na pia asisahau kuwaambia wasilipe kodi wala ushuru!

Nenda miji yote mikuu duniani kuna utaratibu maalumu wa kufanya biashara, huo ni ujinga na uwezo mdogo anaoonyesha

huyo aliyekuwa mbunge wa arusha
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Mkuu, ni demokrasia au domoghasia? Ccm wawe na demkrasia?
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Serikali iliyopatikana kwa kuchakachua kura za ubunge na urais 2010
 
Serekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba hakuna machinga yoyote kuondoka mjini.sivyo wawapeleke kwenye eneo waliloliuza huko kilombero...mpaka sasa jamaa wanapiga kazi kama kawaida,,big up lema
I think the guys underestimate maana ya serikali

asipoangalia ataishia jela na watu watamsahau
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

hata wewe umekiri Lema ana cheo chochote.Lema ndo RAISI WA ARUSHA
 
Na pia asisahau kuwaambia wasilipe kodi wala ushuru!

Nenda miji yote mikuu duniani kuna utaratibu maalumu wa kufanya biashara, huo ni ujinga na uwezo mdogo anaoonyesha

huyo aliyekuwa mbunge wa arusha

Lakini hyo miji haiko katika nchi znazoongozwa na wasanii jamii ya Mkwer.e
 
Serikali hii inauaibisha utawala wa JK chini ya ccm, wanataka waondoke halafu watakula wapi? Wanataka wakaibe? Hawaoni watakuwa chanzo cha unyang' anyi na uwizi Arusha?

Hivyo, mbona Arusha vibaka wamezidi kila usiku karibu nyumba mbili zinaibiwa ni kwa ajili ya kukosa
maeneo ya Biashara? Kwa mfano maeneo ya Sakina na Kwa Mrombo Vibaka wamekithiri.
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Lema kesha toa agizo kumjua yeye ni nani si hoja, acheni kulialia nyie magamba legelege
 
Back
Top Bottom