kweli kuwa mwanamke halafu single kuna raha yake-mbarikiwe sana wanaume

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani
 
Kuna siku watakuweka kati.Utajuuuta!
Ogopeni kula vitu vya watu jamani.
Halafu kuna wanawake wanajikuta mambo yao hayaendi.Full mikosi
wanaanza kushangaa.Kumbe walijilaani wenyewe.
UTAKULAJE DHLUMA HALAFU TEGEMEE BARAKA?
Laani hii ispokupata weye inakuja kuwapata watoto wako.
 
Vyote wanakupa bure...? Especially hawa wawili wa blackberry,wa miscellaneous expenses.....mmh..my sista??!!
 
Kuna siku watakuweka kati.Utajuuuta!
Ogopeni kula vitu vya watu jamani.
Halafu kuna wanawake wanajikuta mambo yao hayaendi.Full mikosi
wanaanza kushangaa.Kumbe walijilaani wenyewe.
UTAKULAJE DHLUMA HALAFU TEGEMEE BARAKA?
Laani hii ispokupata weye inakuja kuwapata watoto wako.
loooh tausi mbona unaniondolea appetite jamani
mimi sijawaomba wala hawajaniambia wanataka nini kwangu
ulitaka nikatae?
 
Pole yako, ipo siku yatakutokea puani! Wanaume waone hivyohivyo ila ni viumbe hatari sana.........hujuilizi wanaume wa songea kwanini wanaua familia tena kikatili na kisha wao kujimaliza? Nakuhurumia sana kwa upofu ulionao.
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani
 
Tabasam lako lina mvuto BTW ... huenda ndio maana una wahisani lukuki.
Mwaya, nimekutahadharisha kwa sababu nakutakia mema mwaya.
mi sijui bwana namshukuru mungu kwa kunipa riziki hizi ndo maana nawaombea wabarikiwe sana
 
Pole yako, ipo siku yatakutokea puani! Wanaume waone hivyohivyo ila ni viumbe hatari sana.........hujuilizi wanaume wa songea kwanini wanaua familia tena kikatili na kisha wao kujimaliza? Nakuhurumia sana kwa upofu ulionao.
mi kosa langu nini au upofu ni upi ? unataka nikatae au wivu ?
 
Unajua hakuna kitu cha bure eeh...sasa Smile...ebu tuambie tartiibu kila mmoja apo reward yake ni nini kabla wenyewe hawajaja "kukudai?"lol
ni bure maana hawajanipa term ya ofa zao
 
Always remember " there is no free lunch" unadhan economists walikosea? Kuna gharama lazima utalipa either indirect au direct costs. Its just a matter of time, ukijua process ya kutafuta pesa ilivyo siku zote utakuwa cautious na traps za wanaume. Lakini kama wewe ni goalkeeper then consequences za free lunch ndo gharama utakazolipa.
loooh tausi mbona unaniondolea appetite jamani
mimi sijawaomba wala hawajaniambia wanataka nini kwangu
ulitaka nikatae?
 
Always remember " there is no free lunch" unadhan economists walikosea? Kuna gharama lazima utalipa either indirect au direct costs. Its just a matter of time, ukijua process ya kutafuta pesa ilivyo siku zote utakuwa cautious na traps za wanaume. Lakini kama wewe ni goalkeeper then consequences za free lunch ndo gharama utakazolipa.
ahaaaa acheni wivu bwana
 
Sasa raha hapo ni nini? Kuwadanganya hao wanaume au? Manake nna hakika kila mmoja hapo anajua kuwa yuko peke yake na ndio mana ametoa huduma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom