kweli kuwa mwanamke halafu single kuna raha yake-mbarikiwe sana wanaume

x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani

Ila usirudi hapa kulalamika wanaume ni wabaya. Wakikupa unachotaka, wape wanachotaka mwende sawa. Usidhani u'll get away with it kwa wote hao.
 
Kwani hao walotoa ofa wanajua kuwa wako wengi hivyo. X anajua yuko peke ake na ndio mana amekupa alichokupa.
hawajauliziana wala sio wapenzi wangu
kila mmoja anatoa kwa moyo na muda wake
 
Jamani kula vya watu inaraha yake
Hasa anapokuwa Bushoke + domo zege
Wala kwa mrija
Ukiwekwa kati ajali kazini
Morani haogopi simba
Kuna siku watakuweka kati.Utajuuuta!
Ogopeni kula vitu vya watu jamani.
Halafu kuna wanawake wanajikuta mambo yao hayaendi.Full mikosi
wanaanza kushangaa.Kumbe walijilaani wenyewe.
UTAKULAJE DHLUMA HALAFU TEGEMEE BARAKA?
Laani hii ispokupata weye inakuja kuwapata watoto wako.
 
Siku hizi yanatokea mdomoni, kwa kifupi tunayatapika
No longer puani

Hao wa songea waoga wa kukabiliana na matatizo yao
Ndo maana wanajiua
Do you see them as heros?
Pole yako, ipo siku yatakutokea puani! Wanaume waone hivyohivyo ila ni viumbe hatari sana.........hujuilizi wanaume wa songea kwanini wanaua familia tena kikatili na kisha wao kujimaliza? Nakuhurumia sana kwa upofu ulionao.
 
Jamani kula vya watu inaraha yake
Hasa anapokuwa Bushoke + domo zege
Wala kwa mrija
Ukiwekwa kati ajali kazini
Morani haogopi simba
eti kongosho wanataka nikatae kwanini ?
 
Kila mjanja ana mjanja zaidi yake
Life is gambling
Sometimes you win, sometimes you loose


Acheni woga, Smile utaniPM nikupe more tricks
Tena watakuwa wanatoa pounds
Mjini raha sana ukiamua kuwa tapeli wa watapeliwa wa hiari

\
Wana akili hao, mind you!
Wanaweza wasikudai hata mwaka ukapita, lakini jua kuwa hakuna free lunch!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom