Kweli kuna haki ya kuvunja muungano

Nasikia sio wote wamasai wa ZnZ ni original kuna wengine pretenders, wanaambiwa kuwa mijimama ya kizungu wanaokuja as for sex tourism wanawamind.
 
halafu kweli ...manake wazungu wanawapenda kweli hawa masai so mtu anajifanya yeye ni morani ili muradi tu awavutie hawa wazungu ..ma beach boy kweli wana mbinu nyingi sana
 
Haya mnyang'anyeni huyo mali ili aje tumpe kiwanda cha bakhresa moja kati ya ile ya pesa alizokuwa akimfichia Mzee Abeid Karume(alikuwa akila dili nae)
 
Nasikia sio wote wamasai wa ZnZ ni original kuna wengine pretenders, wanaambiwa kuwa mijimama ya kizungu wanaokuja as for sex tourism wanawamind.

halafu kweli ...manake wazungu wanawapenda kweli hawa masai so mtu anajifanya yeye ni morani ili muradi tu awavutie hawa wazungu ..ma beach boy kweli wana mbinu nyingi sana
.

Wakuu Saint Ivuga & MadameX mmenikumbusha hii hapa​

maasai_white_woman.jpg
 
hahahhahahaaaaaaaaaaaaaaa...ngoja na me niwe naenda beach labda umasai wangu will pay off....lol
 
Back
Top Bottom