Kwanini Wazungu walileta dini Afrika?

ts9_dna

Member
Jun 9, 2023
28
96
Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.

EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.

Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja

Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?

Em weka wazo lako apo
 
Sikiliza wewe, hao wamisionari walioleta injili afrika walitekeleza agizo la kueneza injili la enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe. Sasa afrika ndiyo kinara wa injili kuliko ulaya kiasi kwamba afrika inatakiwa ipeleke injili ulaya. Ulaya imeishakuwa giza habari za injili hawazijui, upagani umekuwa mwingi kule. Usitake kusema kwamba wamisionari walileta ulaghai wa kisiasa wakitangulizwa na ukoloni kuja kutawala na kunyonya rasilimali zetu za afrika. Dini ni filosofia itumie vizuri kujenga mentality ya utu, ukiitumia vibaya itakuwa ni ulaghai
 
Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.

EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.

Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja

Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?

Em weka wazo lako apo
Ukimaliza hapo uliza pia

Kwanini waarabu walileta dini yao afrika

Ova
 
Mkuu Uwezo wako wa akili/IQ ni ndogo kulipo mada ulioanzisha.

kwa maana nyingine mada ni nzito kuzidi uwezo wako wa akili.

ebu jaribu kutulia chimba ndo uanzishe mada.
 
Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.

EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.

Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja

Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?

Em weka wazo lako apo
mbona hautaji waarabu?
 
Ukisoma vizuri biblia utaona hata hao wazungu dini walipelekewa hasa injili. Wakush walikuwa mbele ya muda kabla ya hao wazungu mfano kwenye Biblia kuna Mkush alikuwa anatoka Kwao Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem tena akiwa na gari lake. Wakati huo pengine hao wazungu walikuwa wanaishi huko mapangoni hawana habari na Injili. Badae sana ndiyo walikuja kustuka hii kitu ni dili.
 
Wazungu hawakuleta dini Afrika, sisi waafrika ndio tulipeleka dini kwao

Musa alikuwa Mwafrika alikutana na Mungu akiwa Misri akanfundisha dini na matendo ya miujiza ya Mungu akasafiri jwenda nje ya nchi huko kwa watu weupe akawapelekea dini huko
 
Dini ni mambo ya kufikilika. Siwezi kuamini mambo nisio yaona
Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lile

Imani ya kuamini kuwa hao ni wazazi wako umeitoa wapi? Una uhakika gani kuwa ni wazazi wako na kuwa hukuotwa jalalani baada ya wazazi wako halali kukutupa?
 
Ukisoma vizuri biblia utaona hata hao wazungu dini walipelekewa hasa injili. Wakush walikuwa mbele ya muda kabla ya hao wazungu mfano kwenye Biblia kuna Mkush alikuwa anatoka Kwao Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem tena akiwa na gari lake. Wakati huo pengine hao wazungu walikuwa wanaishi huko mapangoni hawana habari na Injili. Badae sana ndiyo walikuja kustuka hii kitu ni dili.
Jibu murua kabisa hili, hata mimi nilitaka kumjibu hivyo hivyo.

Na hapa naweza kuongezea hivi; pale Ethiopia na Misri kuna makanisa yaliyoasisiwa na Wakristo wa awali kabisa (Karne ya pili hadi none) kabla huo Ukoloni haujaja Afrika na haujulikani.
 
Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lile

Imani ya kuamini kuwa hao ni wazazi wako umeitoa wapi? Una uhakika gani kuwa ni wazazi wako na kuwa hukuotwa jalalani baada ya wazazi wako halali kukutupa?
Baba na mama nimekua nikiwaona lakini huyo Mungu mnae mzungumzia sijawahi kumuona walau ningekuwa namuona kidogo ingeleta Imani kama Imani niliyo nayo juu ya wazazi wangu ambao Nina waona.

Na hata kama siku zao za kuishi zikiisha Bado taswira Yao itabaki kichwani mwangu.

Ila taswira ya Mungu Ambae mnadai kuwa yupo imegoma kabisa kujicreat kichwani mwangu.

Swali unajuaje kuwa ni baba na mama yako halisi hadi uwaite hivyo? Una uhakika gani kama kweli wazazi wako hata kama unawaona? Kama ni matapeli wa mjini walikuiba wodini au kukuokota barabarani na kujiita wazazi wako je
 
Ni mataperi ambao nimewaona. Nimeridhishwa na utaperi wa wadhi. I need God to speek by himself to me. Nimechoka kusikiliza maneno ya watumishi wanaojidai ni watumishi wake.

Ambao wengi ni waongo. I need to see God through my eyes...izo rumours zimenichosha...!​
 
Dini ilikuwepi kabla ya wazungu kufika au wakoloni. Ila wazungu walituletea Imani yao ili watutawale vizuri, kupitia dini walijaribu utamaduni wetu na kutufanyia tudharau Kila kilichotolewa chetu Kama madawa, Imani na vitu vingine vinavyoendana na hivyo.
 
Ukitaka kuona hao watu hawajali dini, mtafute mzungu mmoja anajiita Jesus youtube, yule jamaa anapita mitaani kavaa kama yesu anateleza na skateboard huku kapanua mikono, na hakuna anayejali na wengine wanaomba selfie kabisa. Kuna jamaa mwingine anajiitwa penguinz0 youtube naye wanamwita jesus na wanamake jokes kabisa kitu ambacho ukifanya Africa basi utavamiwa na walokole.

Dini ipo Africa kuwatia ujinga na uvivu wa mwili na akili ili wachume rasilimali zetu huku waafrika wakisubiria kwenda peponi.
 
Ni mataperi ambao nimewaona. Nimeridhishwa na utaperi wa wadhi. I need God to speek by himself to me. Nimechoka kusikiliza maneno ya watumishi wanaojidai ni watumishi wake.

Ambao wengi ni waongo. I need to see God through my eyes...izo rumours zimenichosha...!​
Kwa hiyo unawaamini.kuwa ni baba na mama yako sababu tu uliwasikia wakisema hivyo.kwa hiyo.hata tapeli.lolote lingejitokeza enzi unazaliwa likajiita baba yako au mama yako likakulea utawaona hao kuwa hao ndio wazazi waKo kisa unawaona live?
 
Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lile

Imani ya kuamini kuwa hao ni wazazi wako umeitoa wapi? Una uhakika gani kuwa ni wazazi wako na kuwa hukuotwa jalalani baada ya wazazi wako halali kukutupa?
Inawezekana vipi mtu kuokota watoto zaidi ya watatu wanaofanana naye ??
 
Back
Top Bottom