Kwanini wasomi wetu na wanasiasa wanapenda title za elimu yao?

Ahsant Mkuu kwa Taarifa nilikuwa sijui kama hao uliowataja Clinton,Obama,Merkel kama ni Phd's...
Ni bora hata kuitana Dr...Prof..
Lakini sisi tumezidi utasikia Mtu na Kadegree kake kamoja utasikia Eng. Kimbori.....Advocate Saguda...Itabidi na watu wa Fani nyingine watafute Titles sasa/Utambulisho...Mfano HR.Igobe....IT.Seke....,Envir.Boko...,Accont...Jube...Mrk.Soni....nk
SIJUI IPIGWE MARUFUKU...AU TUACHE KAMA ILIVYO...AU TUPITISHE SHERIA...AU ULIMBUKENI....
teh teh
HR.Igobe
tehteh
mkuu
 
kuna suala la utamaduni. Watanzania si watu pekee wanaopenda ama kutambulika kwa hierarchical order au kwa kiwango cha elimu walichofikia. ni chi nyingi Afrika na hata Asia wako hivyo. Katika masula ya international business hasa mnapokuwa mnafanya business meeting na watu wa culture tofauti hilo ni jambo la kuzingatia MNO wakati una adress watu .Kuna baadhi ya tamafuni mf. Wachina hupenda kutambulika kwa hierarchy zao yaani kama yeye ni mkurugenzi basi unapomtaja umtaje kwa cheo chake ili kumtofautisha na wengine na pia kama mtu ni Phd holder au ni Prof basi umtaje hivyo. Tamaduni huenda mbali zaidi kuna baadhi hutajwa kwa kuanza na surname(jina la ukoo) kisha ndio majina mengi. Haya yote ni mambo unayotakiwa kujifunza katika business culture ikiwa unafanya international consultancy/business. Hivyo ulaya na marekani isiwe ndio kigezo rejea (ref.point) kwa kila kitu. Utamaduni wa magharibi hauwezi kuwa sawa na wa Asia na hata Afrika. Na hata ndani ya Afrika yenyewe utamaduni wa Afrika mashariki mashariki hauwezi kuwa sawa na wa magharibi kwa mfano wakati sehemu za pwani ya Tanzania kiutamaduni watu hawanyimani maji ya kunywa mfano mikoa kama Tanga, Zanzibar,kilwa ,lindi na bagamoyo , huu ni utamaduni wa Afrika mashariki lakini Afrika magharibi katika Jamhuri ya kiislamu ya Mauritania kiutamaduni wao si tu hawanyimani MAZIWA lakini pia HAWAMUUZII MTU MAZIWA ikiwa ameomba kama ambavyo mtu wa pwani ya Tanzania aombavyo maji.
Kwa hiyo mimi naweza kuhitimisha kuwa hiyo ni desturi yetu watanzania na ni sehemu ya utamaduni wetu kuwa na watu hupenda kutajwa kwa nafasi zao au elimu zao, SIONI UBAYA wa hilo na tusilazimishe tufanane na ulaya na marekani kwa kila kitu.
utamaduni mbna waasisi hawakua nao?? huu sio ushamba???
ni ushamba wa elimu
 
Hizo degree, PhD drs hazina thaman kwao ndio maana hawaoni umuhimu Wa jitukuza, subiri hapa bongo ukikuta mwenye Dr yake na PhD yake anafagia mitalo halafu one kama atatamba nayo au atatamani kuitwa Dr
 
chakushangaza zaidi hizo title zipo mpaka kwenye official documents zao,mfano mmojawapo ni hati ya kusafiria,utakuta inaanza na DR,SR,FR
 
Kiboko alikua Idi Amin Dada "His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular".
 
kuna suala la utamaduni. Watanzania si watu pekee wanaopenda ama kutambulika kwa hierarchical order au kwa kiwango cha elimu walichofikia. ni chi nyingi Afrika na hata Asia wako hivyo. Katika masula ya international business hasa mnapokuwa mnafanya business meeting na watu wa culture tofauti hilo ni jambo la kuzingatia MNO wakati una adress watu .Kuna baadhi ya tamafuni mf. Wachina hupenda kutambulika kwa hierarchy zao yaani kama yeye ni mkurugenzi basi unapomtaja umtaje kwa cheo chake ili kumtofautisha na wengine na pia kama mtu ni Phd holder au ni Prof basi umtaje hivyo. Tamaduni huenda mbali zaidi kuna baadhi hutajwa kwa kuanza na surname(jina la ukoo) kisha ndio majina mengi. Haya yote ni mambo unayotakiwa kujifunza katika business culture ikiwa unafanya international consultancy/business. Hivyo ulaya na marekani isiwe ndio kigezo rejea (ref.point) kwa kila kitu. Utamaduni wa magharibi hauwezi kuwa sawa na wa Asia na hata Afrika. Na hata ndani ya Afrika yenyewe utamaduni wa Afrika mashariki mashariki hauwezi kuwa sawa na wa magharibi kwa mfano wakati sehemu za pwani ya Tanzania kiutamaduni watu hawanyimani maji ya kunywa mfano mikoa kama Tanga, Zanzibar,kilwa ,lindi na bagamoyo , huu ni utamaduni wa Afrika mashariki lakini Afrika magharibi katika Jamhuri ya kiislamu ya Mauritania kiutamaduni wao si tu hawanyimani MAZIWA lakini pia HAWAMUUZII MTU MAZIWA ikiwa ameomba kama ambavyo mtu wa pwani ya Tanzania aombavyo maji.
Kwa hiyo mimi naweza kuhitimisha kuwa hiyo ni desturi yetu watanzania na ni sehemu ya utamaduni wetu kuwa na watu hupenda kutajwa kwa nafasi zao au elimu zao, SIONI UBAYA wa hilo na tusilazimishe tufanane na ulaya na marekani kwa kila kitu.
Hapana. Ni vyema umetaja kitu utamaduni wetu. Kwa asili zetu Africa tamaduni na mfumo wa elimu tumeletewa na hao tunao waita wakoloni: wazungu. Siyo waasia, waarabu n.k. Asili ya elimu yetu ya asili kama indigenous ni vitu kama uchawi, uganga wa kienyeji, fundi ngoma, n.k. Katika kukuwa kwangu sidhani kama niliwahi kusikia katika kabila lolote watu wakiitana kwa umahiri wa uchawi au uganga. Hata hivyo, mbona akina Nyerere waliosoma enzi zile hawakuitana kwa titles za elimu? Kwani wao hawakuzijua tamaduni zetu! Natamani kuanzia sasa Mh. Rais JPM angesema aitwe Rais Mwl. J. P. Magufuli.
 
LAZIMA uwe na PhD ili uweze kufunguliwa mlango wa kufundisha chuo kikuu Marekani. Na mwenye PhD bila makala za kutosha anaitwa Assistant Professor na kikanuni za kitaaluma anakuwa addressed "Mr." Kuwa addressed profrsa ni lazima awe amechapisha makala ya kutosha kuwa angalau Associate Professor. Kwa hiyo kusema kuwa ukiwa tu mwalimu wa chuo kikuu Marekani moja kwa moja unaruhusiwa kutumia title "profesa" sio sahihi KABISA. Nadhani nimeeleweka.

Kwa Marekani 'professsor' ni mwalimu tu wa chuo kikuu.

Kwa hiyo u-professor wake si kama ule wa kibongo bongo.
 
LAZIMA uwe na PhD ili uweze kufunguliwa mlango wa kufundisha chuo kikuu Marekani. Na mwenye PhD bila makala za kutosha anaitwa Assistant Professor na kikanuni za kitaaluma anakuwa addressed "Mr." Kuwa addressed profrsa ni lazima awe amechapisha makala ya kutosha kuwa angalau Associate Professor. Kwa hiyo kusema kuwa ukiwa tu mwalimu wa chuo kikuu Marekani moja kwa moja unaruhusiwa kutumia title "profesa" sio sahihi KABISA. Nadhani nimeeleweka.

Hujaeleweka na nadhani hujui hata unachoongea.

Imeandikwa wapi kuwa ni "LAZIMA uwe na PhD ili uweze kufunguliwa mlango wa kufundisha chuo kikuu Marekani."

Mimi mwenyewe hapa nimefundishwa na baadhi ya maprofesa ambao hawakuwa na PhD huku huku Marekani.

Na najua watu wengine wengi tu ambao wamefudishwa na maprofesa wasio na PhD na nina marafiki wanaofundisha vyuo vikuu ambao hawana PhD.

Acha hizo bana....unadhani sifahamu ninachokizungumzia?
 
I think siyo kweli, unachosema. Kama umesoma kwenye Chuo kikuu chenye hadhi yake naamini siyo rahisi uwakute hao walio kufundisha wewe, unless umepitia hizo zinazo jiita university colleges na msurulu wa Degree za online. Hizi ndo zile zilizo wapa PhD akina mama Lwakatare and others.
 
Kwa Marekani mtu yeyote anayefundisha chuo anaitwa Professor bila kujali ngazi ya elimu yake, Professor ni simply mwalimu/mkufunzi.

Obama hana PhD kama mleta uzi alivyodai bali ana Juris Doctor from Havard university ambayo ni very prestigious degree, Michelle Obama pia ni JD. JD ni degree itolewayo kwenye law kwa kumaliza coursework fulani ila sio sawa na PhD. Labda nitoe mfano mwanafunzi anayesoma udaktari anakuwa MD ila sio kila MD ana PhD japo wote wanaitwa Drs.

Kwa marais nadhani title ya President ni kubwa, inatosha na inapendeza bila kuwekea mbwembwe zingine mbele.
 
I think siyo kweli, unachosema. Kama umesoma kwenye Chuo kikuu chenye hadhi yake naamini siyo rahisi uwakute hao walio kufundisha wewe, unless umepitia hizo zinazo jiita university colleges na msurulu wa Degree za online. Hizi ndo zile zilizo wapa PhD akina mama Lwakatare and others.

Hujui ulisemalo. Angalia nukuu ya wikipedia hapa chini:

The term "professors" in the United States refers to a group of educators at the college and university level. In the United States, while "Professor" as a proper noun (with a capital "P") generally implies a position title officially bestowed by a university or college to faculty members with a PhD or the highest level terminal degree in a non-academic field (e.g. MFA), the common noun "professor" is often used casually to refer to anyone teaching at the college level, regardless of rank or degree. At some junior colleges without a formal ranking system, instructors are accorded the courtesy title of "professor."

Kama lugha inapanda itakua umeona tofauti ya mkufunzi mwenye PhD na asiyenayo ni capital P tu ila wote wanaitwa professors.
 
'You think' siyo kweli, siyo?

Hivyo huna uhakika, siyo?

Sasa kwa taarifa yako nimesoma vyuo vya uhakika kabisa na wala siyo vyuo vya kwenye mitandao.

Najua kabisa ninachokiongelea hapa na wala sibahatishi.

Na wakati nasoma mimi hizo diploma mills zilikuwa bado kabisa kushamiri kivile.
 
Hujui ulisemalo. Angalia nukuu ya wikipedia hapa chini:

The term "professors" in the United States refers to a group of educators at the college and university level. In the United States, while "Professor" as a proper noun (with a capital "P") generally implies a position title officially bestowed by a university or college to faculty members with a PhD or the highest level terminal degree in a non-academic field (e.g. MFA), the common noun "professor" is often used casually to refer to anyone teaching at the college level, regardless of rank or degree. At some junior colleges without a formal ranking system, instructors are accorded the courtesy title of "professor."

Kama lugha inapanda itakua umeona tofauti ya mkufunzi mwenye PhD na asiyenayo ni capital P tu ila wote wanaitwa professors.

Thank you.

Watu wanabisha tu utadhani wote tumesomea Mzumbe au UDSM wakati wengine tunazungumzia real experience!
 
Sioni tatizo ktk hili. Kwan ukiitwa Dr. au Prof. kuna tatizo gan? Unapenda title hiyo nenda class hupendi piga kimya!!
 
Mi naona Bora Mtu ajiite Prof sawa Au Dr. Ila Eti Eng .Tinda,...Advocate Jihu,....
Nasema Hivi Iwe Ruksa Kwa Statistician Muhida....,HR Jilala....,Marketing Ipayo.....,IT sulu...,accountant Ndege.
Prod.Isagenhe....
 
Back
Top Bottom