Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,684
10,169
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
 
Utaratibu wa doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa DOKTA ni yule tu ambaye aliusomea huo udokta darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli, Au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa udokta wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita DOKTA. Udokta wake unabaki kuwa wa heshima na sio udokta wa TITLE. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa DOKTA SAMIA kwa sababu hakusomea udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.

Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Mimi nakubaliana na wewe , ila naomba kuanzia leo tukikutana nitambue kama daktari

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Dr wa kurem ua macho na kupaka ripstick
 
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.

Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Hapana, hata huko kwenye social gatherings sidhani kama ni halali kuitwa DOKTA. Kama ni kweli basi naomba hizo guidelines zinazosema hivyo kama hutojali.
 
Ni ujinga kupigana na majina yake sababu hata akifutiwa huo udr bado ni samia yule yule anayetuongoza. Yaaani shubiri kwa walamba shubiri na asali kwa walamba asali haibadilishwi kwa kumfutia au kumpachika udr.
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Kuna hatari kubwa sana kwako ya kukumbwa na yaliyomkumba Ben Saanane.
Kumbuka; aliyekufa ni Mwendazake peke yake, wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai. Na mbaya zaidi sasa hivi wamejitungia Sheria yao ili wasiweze kushitakiwa Mahakani kuhusiana na makosa yao yote ya jinai ambayo watatenda. Be Very Careful my dear, "Noah Nyeusi" hazitakauka nyumbani kwako na kazini kwako.
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Machawa hayawezi kukuelewa
 
Acha kummaindisha Rais wetu wewe kuitwa DR Samia!! Huyo anastahili. Maana amekata kiu ya wananchi wengi sana akiwemo Lucas mwashambwa.

Kama na wewe unataka kuitwa DR tafuta nauli uje huku Kwa Msisi Tanga. Nitakusimika mimi mwenyewe Tate Mkuu uwe DR BICHWA KOMWE -, mganga maarufu wa kuondoa Zongo na kisimo kwenye miili ya watu.
 
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.

Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Tatizo ni nyie CCM wenzake ndo mnamwita Dr na hata mnaandika Dr. Sasa wananchi tufanyenje muache kumuita na kumwandika Dr?
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Na pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswi kuitwa Dr au Professor
 
Back
Top Bottom