Kwanini wanawake wengi hawapendi kujishugulisha kwenye tendo la ndoa?

Aug 13, 2012
7
0
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.
 
Hakuna chuo cha haya mambo kama vipi mfundishe au wewe nani amekuambia kwamba mwanamke anatakiwa ajishughulishe? Kuna mwana JF mmoja aliandika kama kila mtu anapofanya ngono anatoboka basi kuna watu wangekuwa kama wavu, mtoa mada nadhani ni miongoni mwao
 
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.

kwanini wewe ni mvivu wa kutafuta wanawake wanaoshughulika kwenye tendo la ndoa?. kila mwanamke unaye tafuta hashughuliki kwenye tendo la ndoa, nawe shughulika kupata anaeshughulika kwenye tendo la ndoa
 
sio mademu wote wavivu, mapenzi ni sanaa na ujuzi binafsi pia,

Kuna kademu changu cha ki-tanga ebhana eeh ni balaa anavyoshughulika, anavyozungusha hicho kiuno na hizo pumzi alizonazo!!!

Kuna demu niliwahi kuwa naye yaani alikuwa ni gogo+++ , hata mikao ya kukaa hajui !
 
sio mademu wote wavivu, mapenzi ni sanaa na ujuzi binafsi pia,

Kuna kademu changu cha ki-tanga ebhana eeh ni balaa anavyoshughulika, anavyozungusha hicho kiuno na hizo pumzi alizonazo!!!

Kuna demu niliwahi kuwa naye yaani alikuwa ni gogo+++ , hata mikao ya kukaa hajui !

Huyo unayesema alikuwa gogo na mikao hajui, ulimwelekeza akawa bado haelewi? Mi nadhani kama una mpenda mpenzi wako, ukimuelekeza kwa ustaarabu anaelewa... Kwani kuna ugumu gani wa ajabu mno mpaka ashindwe kuelewa jamani??
 
Mimetoka kuangalia movie moja kali inaitwa love net. Ni ya 2011 kw hiyo bado mpya.

Nikakumbuka mdada alikuwa analalamika huku JF kuwa mume wake anachat na wasichana wakiwa watupu through skype.

Hii movie bana inahisu wanandoa ambao wamefikia wakienda kulala kila mtu anatazama upande wake; mke kachunguza akagundua mumewe yuko addicted na internet dating...anabadili tu wanawake anaowapata kupitia mitandao...muda wote yuko na PC. Siku moja kasahau laptop yake ndo ikawa arobaini yake.

Mke kachanganyikiwa..kaamua na yeye ajiunge na hayo mambo ya kujianika kwenye mitandao kutafuta wanaume...na target yake ilikuwa ni mumewe...movie kali sanaaaa.

Mume toka akutane na huyo new date Monica (alitumia fake name) akachanganyikiwa kabisa; akawa anatafuta njia wakutane..Monica hataki...lakini kwa ufupi ali fall vibaya sana kwa mkewe...na mpaka akatafuta jinsi (illegal) kutrace Monica ni nani na anakaa wapi?

Si ndo kujua ni mkewe...alikuwa mdogo ka pilitoni. Lakini walirudisha mapenzi zaidi ya zamani...na inaisha husband anamwambia kuwa aendelee kuwa Monica (fake identity) kwa kuwa amefall in love naye.


Hii imenifanya nione kuwa kama mlishawahi kuwa crazy in love once ...mnaweza rudisha mapenzi upya kama kweli mna nia...at least mmoja wenu inabidi a-work hard.

Unaweza tumia ukweli kuwa unamfahamu mkeo zaidi ya mwanaume mwingine yeyote kurudisha mapenzi yenu...lakini kama ulichukua time kumjua kipindi mapenzi yakiwa moto moto.Lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom