Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Wasalaam wana JF

Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbli pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo...
Wanawake hawasahau kwao,pesa yao wako radhi kutumia na ndugu zao( baba,kaka dada na mama zao wa kuwazaa) kuliko kuitumia Kwa watoto waliowazaa.

Wanaweza hata kukopa pesa Ili kutimiza mahitaji ya ndugu zao,ila KATU hawawezi kukopa fedha Ili kusaidia kulipa school fees ya watoto aliozaa
 
It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
Hivi unajua kwa nn paulo alisema hayo maneno... paul wanted us to be considerate of your menstrual cycle nothng else.. huo mstari mnautumia kama chaka tu.
 
Wanasaikolojia wengi wamekuwa wakisisitiza mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea (upendo/zawadi/maelekezo/genye... etc).
Ipo hivyo na haiwezi kubadilika
issue siyo kutoa ni kuwa responsible, mbona kwenye vicoba mnatoa? Hizo hela zenu zina pile up tu bank au mnatumia? Sasa kwanini usitumie na familia, huo ni ubinafsi
 
Haya mambo hayaepukiki na kuwaponda hatumaanishi kuwa tunawachukia, tunatoa experience kwa vijana wanaochipukia
Sawa naelewa hili. Lakoni tumeangalia impact ya hiyo experience.
Kwa mfano wewe uwe mzazi wa mwanao, i think experiences zako zingetumika vyema zaidi katika kujitahidi kumuonyesha mwanao jinsi ya kuepuka kupatana na experience ngumu kama zako.
Vivyo hivyo, ukiangalia the sharing ya experience kwa hawa vijana wanaochipukia sidhani kama ni positive. Mostly imefocus kwenye kuwaonyesha ubaya wa ndoa na wanawake kwa ujumla and at the same time tunahangaika kuwaaminisha kua ni vyema wawe vitombi zaidi..
Tunasahau pia sisi wanaume tutazaa mabinti ambao they have to deal with these same toxic men (ambao tumewatengeneza wenyewe through experiences zetu). So presha inakua mara mbili maana sidhan kama kuna mtu anataka mwanae wa kike ateseke.
TUnaziba tundu la panya kwa mkate. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom