Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,499
Wasalaam wana JF

Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo.

Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia nyingi zimefarakana na ndoa nyingi zimevunjika. Mambo hayo yote hayakuwahi kumuacha mwanaume salama.

Aidha, vijana wengi, kwa kutambua hilo hawataki kuoa na kampeni ni nyingi hivi sasa za kuhamasisha watu KUKATAA NDOA.

Ata mimi na subscribe kwenye mawazo sahihi kwamba ndoa ni utapeli na pengine ni ajira au chanzo cha mapato kwa wanawake wengi ambao ni wabinafsi na wachoyo.

Kwanini sasa hawa akina mama wanakua wabinafsi na wachoyo:

1. Kubwa ni umasikini na fikra za kimasikini
Mwanamke aliyetoka kwenye familia masikini anadhani mume ndiyo suluhisho la matatizo yake na familia yake. Imagine baba yake hakumudu mambo mengi, lakini akija kwako atataka wewe ufanye mambo ambayo ata baba yake hakuweza;

2. Dhana potofu kwamba mwanaume ndiye sole braid winner
Hii ni dhana iliyojengeka kutokana na nadharia potofu kwamba mwanaume ndiye anayepaswa kulisha na kutunza familia. Kimsingi, mila na tamaduni zetu hazi support hii hypothesis. Babu zetu walioa wake wengi na sehemu kubwa ya uzalishaji wa mali ulifanywa na wanawake, wao ndiyo waliokua wanalima mashamba na kutunza mifugo. Hivyo uzalishaji mali ulikua shirikishi hali kadhalika utumiaji wake

Hali kadhalika vitabu vya dini pia havitambui hili rejea .Mithali 31:10-31 ambapo mke mwema ameelezewa kwa kirefu.Pengine, hii dhana ililetwa na wakoloni kutubabaisha na kutuondolea misingi yetu thabiti ya familia, kwani huko kwao mwendo ni 50/50.

3. Ushawishi hasi kutoka kwenye makundi potofu
Wanawake wengi hawana akili independent, wanategemea mawazo kutoka kwa wenzao. Ni ukweli usiopingika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, sasa utakuta sehemu kubwa ya maisha ya wanawake yanaendeshwa kwa kutumia akili za wenzake. Fanya hivi fanya vile, bila kuchunguza madhara ya yale afanyayo. Hivyo basi, pesa za wanawake zinaingia kwenye VICOBA na mchango wao katika familia unakua mdogo huku akipambana kujilimbikizia mali pasipo mwenzi wake kujua au kushirikishwa.

4. Kutokua na mapenzi ya dhati na familia
Wanawake wengi siyo wa kweli (honest) wako kwenye mahusiano kwa sababu zingine na si mapenzi. Mwanamke anaweza kuolewa ata na shetani kwa sababu anaona umri wake wa kuolewa utapita, in short ni opportunists. Kuishi na mtu asiye kupenda ni changamoto kubwa sana, hakuna rangi utaacha ona. Kwa sababu hiyo basi, ushiriki wa wanawake kwenye kujenga hizo familia unakua ni mdogo, kwasababu hawajapenda, hutakaa uone mchango wao kwenye ujenzi wa hiyo familia na mwisho wake familia inasambaratika.

5. Unafiki
Wanawake kiasili ni wanafki, na wataonesha uzuri kwa nje ila ndani ni mbwa mwitu. Siku zote wanawake wana nia ovu, kaa nao kwa magutu sana. Akipata opportune moment umekwisha.

6. Tamaa na ubabaikaji
Wanawake hawako stable, wana tamaa japo anaweza kuzi suppress, ila tamaa ndiyo asili yao.wanawake wanataka vitu vyote vizuri viwe vyao, ukiwa maarufu na successful utawatembezea vitombo mpaka ukinai. Pia ukiwa na muonekano mzuri nayo ni shida. So mwanaume unapaswa at least uwe stable financially ili uwe salama

7. Malezi mabaya
Wanawake wengi wamelelewa kipuuzi, hii pengine ni kutokana na mapokeo ya dini au tabia mbaya za wazazi. Kwamba aende tu kwa mume, mume ndiye atakaye muhudumia. Yaani hapa wazazi wanakusukumia zigo lao. Hii si sawa, hakuna mtu ambaye anatakiwa awe responsible na maisha ya mtu mwingine, lazima watu wafanye kazi, wazalishe na kuchangia kwenye ujenzi wa familia. Hizo myth kwamba mwanume ni sole bread winner are long gone. Kama wanawake hawatajiongeza kwenye hili, hakuna mvulana atakayeoa, mark my words

HITIMISHO

UBINAFSI NA UCHOYO SIYO TABIA NJEMA

HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUISHI NA KUDUMU NA MWANAMKE MCHOYO NA MBINAFSI

MAHUSIANO SIYO CHANZO CHA MAPATO

KILA MTU MZIMA ANA WAJIBU WA KUFANYA KAZI NA KUJIPATIA KIPATO CHAKE HALALI

UJENZI WA FAMILIA SIYO JUKUMU LA BABA PEKE YAKE, BALI NI WANAFAMILIA WOTE

MKIENDELEA KUWA WACHOYO NA WA BINAFSI, NDOA MTAZISIKIA NCHI JIRANI
 
It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
siyo lazima kuishi na mwanamke.

Ni matumizi mabaya ya akili kuishi na mtu ili uitumie akili yako,

Kwanini usiamue kutoishi naye at first place?
 
Hakika, watu wamechoka, ni upuuzi kukaa na li jitu linakipato na hicho kipato haukioni. Kwanini tuendelee kukaa kwenye set up ya kipumbavu kama hiyo?
Hapo ndipo wanapofeli waliioa wake wafanyakazi au wafanyabiashara kwa lengo kusaidiana maisha.

Mtu anakupa utelezi kwa mafungu
Na Wanao wanalelewa na housegal
Yote sababu ya ubize na uchovu kazini

Afu kipato Cha uko kazin hakina mchango wowote kwenye maendeleo ya familia.

Ukifikia hapo lazima usione umuhimu wa mwenza wako KUFANYA kazi.

TULIOOA MAGOLIKIPA TUNA NAFUU SANA
 
Vijana mnateseka sana na ndoa. Mnaoa vitoto bikira havina hata akili ya kuwahi kuamka vifanye usafi wa chumba mlicholala. Vinawaza tu kuchati na kwenda kula migahawani.

Tuliooa ma single mother tuna raha zetu. Kabla hujaamka utasikia,, vipi baba neema mbona leo unalala sana, au unaumwa! Maji yanapoa bafuni.

Hapo alishamaliza kudeki na kuosha vyombo, chai iko mezani na nguo ya kuvaa alishakuandalia.

Tatizo siyo mwanamke, tatizo ni aina ya mwanamke uliyemwoa. Mnaagalia wenye misambwanda mikubwa na sura laini. Kumbe kuna watu wanatunza. Akija kwako mnaanza kushindana.

Zingatia uchaguzi sahihi wa mwanamke ili uwe na amani katika ndoa.
 
Back
Top Bottom