Kwanini wanaume mnawatoa wanawake wenu kafara?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,892
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara?

Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa. Mama akabaki kwa bahati nzuri.

Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
 
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??

Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .

Nenda karipoti kwa Mwamposa hizo kafara zitakoma
 
Hivi hua inasababishwa na nini.. maana my ciccy nae imetoka 3 times na hatuelewi shida nini, hata bwanake nae anashangaa
Sababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..

Kwa uchawi yaweza ikawa mume ni mchawi hivyo anatakiwa atoe kafara.

Wakati mwingine ni mume anakuwa ameingia agano na waganga hivyo lazima atoe kafara ya mimba.

Upande wa mizimu inakuwa ni upande wa mume Kuna agano la kafara ya kutoa mimba hivyo ndio inatoka...

Familia ya mume pia yaweza kuwa na Uchawi, uganga, mizimu yote inataka kafara ya mimba...
 
Achana na imani za kijinga zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha kafara wala uchawi.

Muwe mnawawahisha wajawazito hospitali wapate vipimo na huduma stahiki za kiafya.

Usikae kusubiri hadi siku ama wiki ya kujifungua, kuna matatizo mengi anaweza kupata mama mjamzito kama vile presha kupanda ama kushuka na kuhatarisha uhai wa mama na kichanga kilicho tumboni.

Achana na imani zisizo na kichwa wala miguu. Sasa kama maombi yalimuokoa mama mjamzito, hayo maombi yalishindwa nini kumuokoa mtoto? Ama mungu alichagua aue mtoto abakize mama? Ama maombi ya mtoto hayakufika huko mbinguni?
 
hii kafara ni nzuri sana jini linakunywa damu ikiwa mbichi (fresh) huwezi kugundulika kwa watu watakuwa wanahisi ni bahati mbaya tu
Na yanapendaga pure blood ya vichanga Haina najisi/bado haijachafuka au kuchafuliwa na ya dunia,, kafara ya Mtoto mdogo/kachanga ina nguvu Balaa!!ila pia ina laana Balaa!!
 
Achana na imani za kijinga zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha kafara wala uchawi.

Muwe mnawawahisha wajawazito hospitali wapate vipimo na huduma stahiki za kiafya.

Usikae kusubiri hadi siku ama wiki ya kujifungua, kuna matatizo mengi anaweza kupata mama mjamzito kama vile presha kupanda ama kushuka na kuhatarisha uhai wa mama na kichanga kilicho tumboni.

Achana na imani zisizo na kichwa wala miguu. Sasa kama maombi yalimuokoa mama mjamzito, hayo maombi yalishindwa nini kumuokoa mtoto? Ama mungu alichagua aue mtoto abakize mama? Ama maombi ya mtoto hayakufika huko mbinguni?
🤣🤣
 
Sababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..

Kwa uchawi yaweza ikawa mume ni mchawi hivyo anatakiwa atoe kafara.

Wakati mwingine ni mume anakuwa ameingia agano na waganga hivyo lazima atoe kafara ya mimba.

Upande wa mizimu inakuwa ni upande wa mume Kuna agano la kafara ya kutoa mimba hivyo ndio inatoka...

Familia ya mume pia yaweza kuwa na Uchawi, uganga, mizimu yote inataka kafara ya mimba...
Usisahau familia ya mke
 
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??

Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .

Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
Wew mbona unaongea kinyume, nyie mnaoua waume zenu kisa Mali tena ambazo mmezikuta zmechumwa kwa jasho lke binafc mnalizungumziaje hilo

Nadhani hilo swali lako ukawaulize wanawake wa kimachame
 
Na yanapendaga pure blood ya vichanga Haina najisi/bado haijachafuka au kuchafuliwa na ya dunia,, kafara ya Mtoto mdogo/kachanga ina nguvu Balaa!!ila pia ina laana Balaa!!
kuna huyo dogo nilimfundisha kutafuta pesa akaenda kuitafuta hilo jini kwa mama flani sumbawanga aisee dogo anakula maisha mijengo,ndinga za kutosha mkewe kila mimba inachomoka kakonda kawa kama kijiti huku pesa ipo kila siku anakula kuku,.tunaojua tume mute kimyaa haya maisha yaache tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom