Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel kivile mwenzi wake na sababu kedekede sasa mwanzoni anakuwa anaona ndoa iko mbali mno asiweze kuchukua hatua mapema kadri siku zikisogea uoga unamuongezeka siku ya ndoa unakuwa kwenye peak na kujikuta kasema 'hapana sijakubali'.