Kwanini wanandoa hukimbiana siku ya harusi

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel kivile mwenzi wake na sababu kedekede sasa mwanzoni anakuwa anaona ndoa iko mbali mno asiweze kuchukua hatua mapema kadri siku zikisogea uoga unamuongezeka siku ya ndoa unakuwa kwenye peak na kujikuta kasema 'hapana sijakubali'.
 
Hawakimbii kwa uoga hao ni issue ambazo wanakuja zijua close to wedding day

-Si unajua uswahili ukishatangaza ndoa wambea wengi watakuletea fitna na umbea bila hata malipo, sasa hapo akili kwe mkichwa.

-Chengine mtu anakuja jua kuwa mwenzie ni msanii, hii ni kwa wadada kama umemuingia jamaa kwasababu anagari na mapesa kedekede zinapokaribia siku uongo unazidi kudhahirika, mtu anaamua asepe.

-Wakaka pia huwacha wadada kwenye mataa, wakijua walikula sahani moja na rafiki/ndugu zao. Zaidi akijua kuwa yule aliyekuwa akimwona kifaa ni ex Changudoa.

Na story nyingi tu, lakini mimi bado nafikiri namba moja ndio inahusu wengi, kusikiliza maneno ya watu. Vipi umpende mtu 5years and all of sudden mtu akupe kaumbea fulani unabadili uamuzi. Ulipopenda utakuwa umependa as person sasa leo iweje?
 
kama ipo si ipo tu hata kama kala nani....afterall 'he loves best who loves last'...
Its purely man's EGO, the minute akijua nani amekula and hasa ikiwa jamaa anamjua sio kwa sura bali wanamazoea atleast basi hakuna tena amani.

Itakuwa duuh kumbe ninakula makombo ya yule F A L A
 
pressure jamani...ndoa si kitu kidogo you need to be ready hasa mentally...lasivyo utakimbia ile siku
 
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel kivile mwenzi wake na sababu kedekede sasa mwanzoni anakuwa anaona ndoa iko mbali mno asiweze kuchukua hatua mapema kadri siku zikisogea uoga unamuongezeka siku ya ndoa unakuwa kwenye peak na kujikuta kasema 'hapana sijakubali'.

Hasa inapokuwa hakuna kipya unachokitarajia, kwa mfano tendo la ndowa umeshafanya nae mara kibao, ulishaishi nae siku nyingi kiasi kuwa kumleta nyumbani ni formality tu, hakuna kitu kipya unachohisi atakuja nacho kubadilisha maisha yako na zaidi ya yote unajuwa vipi anakunyima uhuru kujirusha.
 
Its purely man's EGO, the minute akijua nani amekula and hasa ikiwa jamaa anamjua sio kwa sura bali wanamazoea atleast basi hakuna tena amani.

Itakuwa duuh kumbe ninakula makombo ya yule F A L A
Uko sahihi. Mwanaume akishajua kwamba mchumba wake alishatembea na watu ambao kwa namna moja au nyingine watakuwa karibu yake(mwanaume) huwa anakosa amani. huwa anahisi hao jamaa walioisha mpitia wanamchora, kwani anakua hajui walikuwa wanamfanyiziaje. Mwanaume hawezi kuona raha anapokuwa amekaa sehemu na mwanamke wake halafu hapohapo kuna watu kadhaa walioisha mpitia mwanamke wake. Mwanaume anapenda awe ni yeye tu around ndio aliyepata. Na roho huwa haimuumi sana akisikia mwanamke wake ametembea na mtu wa mbali ambaye hatambuliki kwenye maeneo yake ya kujidai, akitokea mtu kwenye maeneo yake ya kujidai akatembea na mwanamke wake mwanaume huchanganyikiwa zaidi.
 
hahha atakama amekula jamaa wako wa karibu kwani amebandua hiyo K...tuache wivu wakijinga
 
mi nachojua vijana wengi huingia kwenye ndoa kwa sababu muda tu umefika..ila wengi huwa si kwa utashi wao
 
Hasa inapokuwa hakuna kipya unachokitarajia, kwa mfano tendo la ndowa umeshafanya nae mara kibao, ulishaishi nae siku nyingi kiasi kuwa kumleta nyumbani ni formality tu, hakuna kitu kipya unachohisi atakuja nacho kubadilisha maisha yako na zaidi ya yote unajuwa vipi anakunyima uhuru kujirusha.

Sasa wewe unaingia kwenye ndoa huku bado unataka kujirusha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom