Kwanini wamama ni wahanga sana wa Makanisa?

pia hongera zako wewe uliyeoa mwanamke anayeshinda kwenye vigodoro na umbeya na baa.hongera kwa kua na worse family
Mkuu hapana wala hashidi kwenye vigodoro ila nimemwambia Jumapili inatosha kuabudu
 
Wanaume ni wahanga wa viloba gongo na kuleta ukimwi ndani ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
5329bc5ebfc3fe2dec04a0430c957b1d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: J C
..wengi hawaendi kwa matatizo yao binafsi ila ni matatizo yetu sisi wanaume tuache Ulevi, Uasherati ama hata familia iinuke kiuchumi..
Umegonga Ikulu. Wengi huwa wakilia na kugaagaa madhabahuni wakituombea sisi tuache gambe, games cha mchangani na kutapanya fedha hovyo. Usikute hata mafanikio ya wanaume wengi ni kupitia sala za hawa akina mama/wake zetu walioamua kumgeukia Mungu.
 
Back
Top Bottom