Wa Diploma wengi wana soma vyuo vya ualimu ambavyo ada yake ni sawa na shule za boarding za serikali sh. 70,000/=, ila kwa vyuo vikuu boom lazima maana chakula, maradhi na ada wanajilipia wenyewe tofaut na hao wa vyuo wanaolishwa na serikali.
pengine mfumo wetu unaweza kuonekana na kasoro kwani watu hao wote wametoka form six. mwingine anaingia chuo kikuu naanaonekana mtu mature na anahaki zake zote za msingi kuliko anayekqenda chuo cha ualimu ambapo anaonekana kama mwanafunzi wa sekondari ti
Nadhani mwaka kesho huo mpango unaanza ila ni kwa walimu wa sayansi tu, hii ni kutoka kwa naibu waziri wa elimu bungeni leo akijibu swali la mbunge wa Tandahimba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.