Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee
 
Panda EGYPTAIR wote ni wanaume.....kwani kuna shida gani? are you a GAY?
 
Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee

Wanawake wanaweza ukarimu hata wakufundishwa, wanaume ni wachache sana wenye ukarimu japo wa kufundishwa uhitajikao katika ndege.usafiri wa ndege ni huduma, kwa hiyo upimaji wa ufanisi wake unategemea sana watoa huduma na ukarimu wao.
 
Mbona mashirika mengi tu ya ndege wahudumu ni mchanganyiko wa jinsia zote. Hebu jaribu kupanda ndege za zaidi ya shirika moja ulilopanda utaona. Hata hivyo ubaya wa wahudumu wote kuwa wa kike au wa kiume nini????????????????
 
Wahudumu wa kiume ni wasikivu kwa watu wote. Kama ni mtu wa kilauri utawapenda. Panda KQ jamaa watakupa Tursker mpaka nyingine usundie kwani uendako tasker hakuna.

Taskeer baridiiiiiiiiii!
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.
 
Ilikuwa bahati yako tu ukapanda flight yenye shift ya wahudumu wa kike. Panda mara kwa mara utakutana na shift ya wanaume au mchanganyiko. Kwenye ndege hawachagui wahudumu kwa kubagua jinsia, hasa commercial flights. Uko hapo?
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.
Haya ni matusi sasa? Nadhani ameuliza kwa ufaham. Jamani hasira za nini?
 
Kama we si mgeni kupanda ndege hilo si tatizo, tatizo ni mwoono wako. Kumbuka kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, wanawake kwa nasaba zao ni wazuri zaidi katika matumizi ya lugha yoyote, wanawake ni wepesi kutoa huduma na unadhifu wao. Pia wanaoomba kazi hiyo wanawake na wanaume wako sawa?
Lakini wanaume wapo tena si haba kwa airline mbalimbali angalia ATC, Kenya airways, ect.
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.
Uwe na stahi ya maneno katika sentensi zako. Huoni kama unatumia lugha ya kuudhi kwa sentensi kama hizo zilizokolezwa hapo juu. Nakushauri umtake radhi mleta mada na wanajf kwa ujumla waliokwazika kwa post yako hii!
 
Jibu ni kwa sababu wanavutia jinsia zote mbili.kwahio muheshimiwa kama unataka midume sijui airline gani hio na kama hipo utuambie hili tukae nayo mbali.kuna raha yake kuhudumiwa na mwanamke mrembo,inapuguza uchovu wa safari.
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.

Lugha kali sana hii Mkuu! Pengine ni mara yake ya kwanza kupanda ndege lakini kutoa lugha kama hii sidhani kama ni vyema! Tupo kuelimishana tu!
 
Women are more welcoming and hospitable. Maybe ni kutokana na there "motherly" nature. Lakini pia wahudumu wa kiume wapo. Tatizo ni kama mtu unadhani wale wanao serve tea pekee ndiyo wahudumu. Na ukipanda ndege nyingi haswa kubwa zenye kuhitaji wahudumu wengi utakuta wa kiume na wakike.

Sometimes inatokea to profession fulani inavutia watu wa jinsia fulani. Hata manurse na masekretari wapo wakiume lakini unakuta wengi wana kuaga wanawake. Na kuna kazi pia unakuta kuna wanaume wengi zaidi ya wanawake.
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.

MzeeWaHoja
Senior Member
Join Date: Tue Jul 2009 (Piga hesabu ni wiki ngapi, angekuwa bado hajaanza hata kutambaa)
Posts: 54
Thanks: 0
Thanked 2 Times in 2 Posts
 
Lugha kali sana hii Mkuu! Pengine ni mara yake ya kwanza kupanda ndege lakini kutoa lugha kama hii sidhani kama ni vyema! Tupo kuelimishana tu!
Angalia thread za huyu mwenzetu hata anavyojiita mzee wa hoja sijui hoja zenyewe ndio zipi, tumemsaida kwa lugha ya kistaarabu ameshindikana, sasa anatakiwa kurudishwa kwenye mstari kwa nguvu. Angalia reply ngapi, bahti mbaya nimeondoa waliosoma hizo hoja zake na kuondoka bila kujibu kitu, Napendekeza watu muwe mnasusia hoja zisizotuletea Tija katika mskabari wa nchi hii.

Thread / Thread Starter
Replies
Forum
https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=1433505Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake ( 1 2)
MzeeWaHoja
18
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/habari-...amsa-mwangunga-chatimia-bungeni-new-post.htmlKilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
23
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/habari-...vya-utumwa-na-si-waarabu-afrika-new-post.htmlWazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika
MzeeWaHoja
8
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/33308-mbunge-wa-mafia-anaishi-dar-new-post.htmlMbunge wa Mafia anaishi Dar? ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
22
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/33526-kikwete-na-90-ya-ushindi-2010-a-new-post.htmlkikwete na 90% ya ushindi 2010 ( 1 2)
MzeeWaHoja
10
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/complai...a-ya-wazi-kwa-wana-jamii-forums-new-post.htmlBarua ya wazi kwa wana jf
MzeeWaHoja
8
Complaints, Congrats, Advice
https://www.jamiiforums.com/interna...olism-african-americans-history-new-post.htmlSymbolism for African-Americans' History
MzeeWaHoja
0
International Forum
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ika-usiitumie-tff-zfa-kujinasua-new-post.htmlMh mkuchika usiitumie TFF ZFA kujinasua
MzeeWaHoja
0
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/habari-...pashe-kulikoni-gurdian-kulikoni-new-post.htmlNipashe, Kulikoni , Gurdian Kulikoni? ( 1 2 3 4)
MzeeWaHoja
31
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...sheria-hizi-za-uchaguzi-zifutwe-new-post.htmlSpika Sita sheria hizi za uchaguzi zifutwe
MzeeWaHoja
0
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ea-ubunge-jimbo-la-mafia-2010-a-new-post.htmlNajitokeza kugombea Ubunge jimbo la Mafia 2010 ( 1 2)
MzeeWaHoja
16
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/33231-mwanahalisi-lafilisika-new-post.htmlMwanahalisi lafilisika? ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
23
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ni-jakaya-kikwete-kwa-uhuru-huu-new-post.htmlTumpongezeni JK kwa Uhuru huu ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
29
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/habari-...a-wahariri-moat-vinaelekea-wapi-new-post.htmlJukwaa la wahariri ,Moat vinaelekea wapi?
MzeeWaHoja
2
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/habari-...ndo-kutoka-bush-house-kuja-town-new-post.htmlTido muhando kutoka Bush house kuja Town
MzeeWaHoja
1
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/michezo...-wakati-wa-zfa-kumtimua-bushiri-new-post.htmlNi wakati wa zfa kumtimua bushiri
MzeeWaHoja
0
Michezo (Sports & Games)
https://www.jamiiforums.com/habari-...ahili-hamjali-wasikilizaji-wenu-new-post.htmlBBC Swahili hamjali wasikilizaji wenu?
MzeeWaHoja
4
Habari/Hoja mchanganyiko
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/33226-ujumbe-kwa-salim-dimani-wa-cuf-new-post.htmlUjumbe kwa salim dimani wa cuf ( 1 2)
MzeeWaHoja
10
Jukwaa la Siasa
https://www.jamiiforums.com/michezo...a-wachezaji-wanaojaribiwa-ulaya-new-post.htmlmagazeti ya Tz na wachezaji wanaojaribiwa Ulaya
MzeeWaHoja
0
Michezo (Sports & Games)
https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/33199-ss-kuwajibia-mawaziri-new-post.htmlSs kuwajibia mawaziri
MzeeWaHoja
0
Habari/Hoja mchanganyiko
 
Back
Top Bottom