Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
niseme ukweli tu sisi watanzania tulio wengi hatuna uzoefu wa kuongea na kuandika lugha hiyo licha ya kuwa vidato tumeenda. Ile speak english only kule shuleni ilikuwa mtihani mkubwa. Kama viongozi wakubwa kukitafuna kiingereza ni shughuli pevu na tunawaona wakibabaika, itakuaje sisi wa darasa la saba madongo kuinama?
 
Hatuwezi shindano kwa kuwa wao toka awali ndiyo lugha uao. Sisi hata mtaala wa lugha hatuna.

Mara kuanzia darasa la kwanza, mara kuanzia darasa la tatu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
niendelee kusema ukweli tu, ukiacha hawa wanafunzi wa english medium tuje kwa wale wa kayumba huanza kujifunza english wakiwa form one, mwanzo unauitwa english base line/english course kwa wiki kama sita hivi. Wakimaliza muda huo ndio huanza masomo yao ya what is bioloy, chemistry, geography, history, physics watafika mpaka form four/six hadi wanahitimu chuo kikuu na kupata degree zao lakini cha ajabu hawamudu vema kuongea english fluentlly, kuandika sentensi tano zilizonyooka kiiengereza bila matege/english mistake/erra ni shughuli pevu. Wakiona mgeni toka nje kaja kutembelea ofisi we wa darasa la saba kayumba unaachiwa uongee naye huku mgeni anaongea american english
 
Back
Top Bottom