The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
mimi siyo muongeaji sana. nadhani swali limeeleweka.
naomba mwenye kujua sababu atujuze
naomba mwenye kujua sababu atujuze
Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze,
Anzisha kituo cha kwako na utangaze bure, nchi huru hii bwana.Mbona wenzenu CCM wanacho cha kwaoLengo ni kuwafanya wananchi wasijue 'pumba' ama 'umahiri' wa wabunge wao.