Kwanini vituo vya redio havirushi vipindi vya bunge?

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
mimi siyo muongeaji sana. nadhani swali limeeleweka.

naomba mwenye kujua sababu atujuze
 
Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze,
 
Lengo ni kuwafanya wananchi wasijue 'pumba' ama 'umahiri' wa wabunge wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom