jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 990
yote jibu lake ni moja, INATEGEMEA NA MTU.
Basi nisaidie angalau majibu ya maswali matatu hapo chini.

Poor you, don't have any game.
(mtu yeyoye above 35 ni mtu mzima)
Aaaaaaaaah wapi! Vizee tunavipendea KUHONGA BABA KUHONGAAAAA!!!!!!!!!1 MIDOLARI! VINAJICHINJA VYENYEWE WALA HUNA HAJA YA KUVIOMBA!!!!!!!!!!!!!!! Japo vipira na athumani jicho moja makunyazi matupu na mvi kila mahalaa potelea pote! CHEZEA FARANGA WEYEEEEEEEE!
FYI vijana wazamani wako njemaaa mbayaaa! Afu ni jando originale! Not to mention 30 years of experience in the same industry!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Utawalinganisha hawa digitali wanajifunzia pono kwenye Youporn mwalimu wao ile migogo ya kikoloni! Chakula chenyewe chips yai ikauke sanaa, vitamin watoe wapi? Nonihino inavalishwa modo na boxer inabanwaaa masaa 24 haipati hata wasaa wa kujininginiza ku relax! Wanadai msuli ushamba! Msuli dawa! ---- ndo linavishwa mkanda, no wonder viuno gogo! Mkanda kuwekwa kiunoni kuna maana!
Yours truthful in building the nation
Lara 1
(Dean of Students Kamasutra University)
Mtume na Nabii Smile shikamoo.eheheee ila lara mi napingana na wewe ...kuna vijana pia wanajua kucare sana tu ...na vijana gemu lao hadi utateguka ..wazee dkk 2 hoi!
hawa vijana wengi hawawapendi kama alivosema mleta mada cause watakuzeeshea tu mwili wako maana siku nzima yupo tu unlikely hawa wazee wa vodafasta...at least watakuacha na ubrand new k yako!
ila all in all tuache uzinzi ...mi nimeokoka kabiasa!
Wazee wengi wa mikoani wametulia na wazee wenzao hii mambo yaNadhani hao watu wazima wanachukulia umri wa serikali....miaka kuanzia 40 na kusonga!!!
Tena umenikumbusha, na hata hao wazee wanaozungumzwa ni hawa wa mjini wenye matatizo chungu nzima...
Wengi wa wazee mjini wameathiriwa na matatizo ya kiafya, mfumo wa maisha na sex drive kwao ipo chini sana...
Hivyo hii risechi bado ina walakini kwa kiasi fulani....
Nadhani hao watu wazima wanachukulia umri wa serikali....miaka kuanzia 40 na kusonga!!!

kuna mtu kaiba pwd yangu mwenzangu mi mwenyewe nimeshangaa
Wazee wengi wa mikoani wametulia na wazee wenzao hii mambo ya
wazee kutokatoka nayaona Dar na Tanga kwa kiasi kikubwa.

Yaani mwanamme at 40, ni sawa na nyama ya kuchoma ilotiwa ndimu, pilipili na kachumvi:glasses-nerdy:, if you know what I mean.