Kwanini unafiki haukwepeki ukiwa mgeni kwa watu?

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

Senior Member
Feb 1, 2023
101
241
Ukiwa mgeni kwenye nyumba yoyote ya watu iwe rafiki yako au ndugu yako kwanini lazima unafiki ukupate mifano ya unafiki hii chini.

Umeandaliwa chakula hata kama wamekupa kingi au kidogo kwanini lazima ubakize na kujidai sio mlaji kabisa.

Mtoto wa mwenyeji wako mtundu balaa mara akudandie kichwani mara anakuambia anko unakula sana, anko mbona huondoki kwetu umekuja kula tu.. Na wewe kwa kujua kabisa anakosea unajinafkisha unawaambia wenyeji wako, junior amekuwa sana siku hizi anaongea huyo wakati angekuwa mtoto wako fimbo kala mda MREFU SANA. NK

KWANINI UNAFIKI UKIWA MGENI KWA WATU UNAKUPATA AUTOMATICALLY?
 
Junior mwenyewe sasaa 😅

248B979C-9FB7-43BB-8E26-26C8C8B50D46.jpeg
 
Issue ya chakula wengi tushaisolve,
Wengi tuko comfortable kwenye kula, tunaweza kuagiza hadi ukoko uliopo jikoni!

Dah, Ila akina Junia, Ndio mtihani mkubwa sana huko ugenini!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa mgeni kwenye nyumba yoyote ya watu iwe rafiki yako au ndugu yako kwanini lazima unafiki ukupate mifano ya unafiki hii chini.

Umeandaliwa chakula hata kama wamekupa kingi au kidogo kwanini lazima ubakize na kujidai sio mlaji kabisa.

Mtoto wa mwenyeji wako mtundu balaa mara akudandie kichwani mara anakuambia anko unakula sana, anko mbona huondoki kwetu umekuja kula tu.. Na wewe kwa kujua kabisa anakosea unajinafkisha unawaambia wenyeji wako, junior amekuwa sana siku hizi anaongea huyo wakati angekuwa mtoto wako fimbo kala mda MREFU SANA. NK

KWANINI UNAFIKI UKIWA MGENI KWA WATU UNAKUPATA AUTOMATICALLY?
Inategemea malezi yako, kama umnafiki au la.
 
Sina unafiki popote, uzuri kila niendapo ni kwa jamaa ninaowajua, na wanaonijua.
 
Back
Top Bottom