Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda
Senior Member
- Feb 1, 2023
- 101
- 241
Hebu fikiria ile umeenda kumtembelea ndugu Au rafiki yako unakutana na mtoto mtundu balaa Ile umetulia tu sebureni baada ya kukaribishwa anakuja mtoto wa wenyeji wako age miaka kama mitano hivi anakuambia Anko umejamba mbele ya wenyeji wako na wewe hujafanya kitendo hicho basi unajikaza kaza pale mama yake anajichekesha pale ww junior Acha kumsumbua mgeni hujakaa sawa mara kumbe mtoto amezunguka nyuma ya kochi kakufinya afu kakimbia kujificha.
Haujakaa sawa ile umeletewa soda mara mtoto anakuambia anko usimalize yote unibakiziage unamsikia mama yake junior ndio alivyo mvumilie huyo what yani nimvumilie mtoto tena wa miaka mitano hivi huyu anamleaje mtoto ile sijakaa sawa mtoto huyo ananipekua mifukoni anko huna hela usile chakula chetu Leo.
Sasa nikasema huyu mtoto nikisipo tumia mbinu za kutia ADABU hapana atanizoea mana tayari mood alishanikata Japo Ni mtoto lakini Nikaanza Kutafuta Upenyo Ili Kakinisogelea Mama Yake Akitoka tu nikafinye LAKINI KWA BAHATI MBAYA NILIKOSA HIYO NAFASI SIKU ILE NA NILIONDOKA BIRA KUMTIA ADABU JUNIOR MANA KWA MALEZI YALE YA WALE WAZAZI WAKE SIO ULEAJI ULE.
JE KWANINI WAKINA JUNIOR NI WATUNDU