Kwanini ukimtokea mwanamke anakwambia ameshawahi kuwa na mwanaume mmoja tu?

Katika suala ambalo wanaume wengi tunalokutana nalo mara ya kwanza unapomtokea mwanamke ni hili. Ukimuuliza je ulisha-do na wanaume wangapi? Kiukweli hawezi kukuambia idadi zaidi ya kukuambia ni alienitoa bikra tuu.

Kumbe alishakua na wanaume zaidi ya 30. Kwanini wasingekua wanaongea tu ukweli? Hii ingewajengea heshima sana, wao hudhani wanaume ndiyo waongo ila ukweli wanawake ni waongo zaidi.

Kwanini huwa hawatuweki wazi?
Anakwambia amewahi kudate na mwanaume mmoja tu tena hapo ni baada ya kumfukuzia kwa taabu sana umetumia kila aina ya huongo kumshawishi hatimae akakubali baada ya ukweli kushindwa.

Na utakuta anakusimulia ka-love story kamajonzi majonzi akiji-potray yeye ni mtu aliyetendwa na huyo boyfriend wake pekee aliyokuwa nae hapo kabla hadi unaingiwa na huruma na kuhaidi kutomuumiza kwa namna yoyote ile.

Lakini kuuuumbe huko nyuma ana msululu wa kufa mtu kiasi kwamba hata hiace mbili zinajaa,yaani keshakutana na michi ya kila size, bikra ndio alishasahau hata ni nani aliyoitoa na mwaka gani......na kwa bahati mbaya haya yote huja kujulikana baadae ukiwa ndani ya kiapo.

Hawa viumbe ni wadanganyifu sana na nashauri usipoteze muda eti unataka kujua ulipotoka alikuwa na nani na kwanini waliachanaa, wewe fanya yako kama walivyomfanya wengine kisha unatambaa unaachia wengine nao wafanye yao... ukijifanya kuleta habari za Romeo utajizika mapema.
1472593714418.jpg
 
Anakwambia amewahi kudate na mwanaume mmoja tu tena hapo ni baada ya kumfukuzia kwa taabu sana umetumia kila aina ya huongo kumshawishi hatimae akakubali baada ya ukweli kushindwa.

Na utakuta anakusimulia ka-love story kamajonzi majonzi akiji-potray yeye ni mtu aliyetendwa na huyo boyfriend wake pekee aliyokuwa nae hapo kabla hadi unaingiwa na huruma na kuhaidi kutomuumiza kwa namna yoyote ile.

Lakini kuuuumbe huko nyuma ana msululu wa kufa mtu kiasi kwamba hata hiace mbili zinajaa,yaani keshakutana na michi ya kila size, bikra ndio alishasahau hata ni nani aliyoitoa na mwaka gani......na kwa bahati mbaya haya yote huja kujulikana baadae ukiwa ndani ya kiapo.

Hawa viumbe ni wadanganyifu sana na nashauri usipoteze muda eti unataka kujua ulipotoka alikuwa na nani na kwanini waliachanaa, wewe fanya yako kama walivyomfanya wengine kisha unatambaa unaachia wengine nao wafanye yao... ukijifanya kuleta habari za Romeo utajizika mapema.View attachment 390695
na wewe fanya yako utambae zako haaa nimekapenda haka kamsemo
 
Katika suala ambalo wanaume wengi tunalokutana nalo mara ya kwanza unapomtokea mwanamke ni hili. Ukimuuliza je ulisha-do na wanaume wangapi? Kiukweli hawezi kukuambia idadi zaidi ya kukuambia ni alienitoa bikra tuu.

Kumbe alishakua na wanaume zaidi ya 30. Kwanini wasingekua wanaongea tu ukweli? Hii ingewajengea heshima sana, wao hudhani wanaume ndiyo waongo ila ukweli wanawake ni waongo zaidi.

Kwanini huwa hawatuweki wazi?
NI VILE TU HATA UNAPONUNUA GARI AU SIMU
KWA MTU HAWEZI KUKWAMBIA IMETUMIKA SANA
 
na wewe fanya yako utambae zako haaa nimekapenda haka kamsemo
Ndio hivyo mkuu... fanya yako kisha unaachia wengine wapande nao wajisaidie haina haja ya kuuliza imetoka wapi na inaelekea wapi.

Women are like matatuz(Kenyan proverb)
 
Halafu unaenda kuombewa eti hupati mume!! Kah..umechafua background yako mwenyewe then unaenda kumlaumu Mungu huolewi..utaishia kuwa chakula ya wapita njia mpaka mwisho wa dahari
as long as naenjoy shida iko wapi? hapa duniani kuna njia nyingi za kupata raha bhana.
 
Sasa akisema alikuwa nao wengi au zaidi ya mmoja wawili si utamuona hajatulia au utaanza kudhani kuwa ana matatizo , hivyo hutamuwekea maanani kwenye uhusiano
 
Katika suala ambalo wanaume wengi tunalokutana nalo mara ya kwanza unapomtokea mwanamke ni hili. Ukimuuliza je ulisha-do na wanaume wangapi? Kiukweli hawezi kukuambia idadi zaidi ya kukuambia ni alienitoa bikra tuu.

Kumbe alishakua na wanaume zaidi ya 30. Kwanini wasingekua wanaongea tu ukweli? Hii ingewajengea heshima sana, wao hudhani wanaume ndiyo waongo ila ukweli wanawake ni waongo zaidi.

Kwanini huwa hawatuweki wazi?
Kwan kuna wanaume wangapi?
 
Back
Top Bottom