Kwanini ukimtokea mwanamke anakwambia ameshawahi kuwa na mwanaume mmoja tu?

Kwanini udanganye? wala sitakiwi kuuliza chamsingi hutakiwi kuolewa bila bikra, mtunzie heshima hiyo baba watoto wako sio mnazaa mwenzio anahesabu wa kwanza kumbe kichwani unahesabu angekuwa wa nane, mnaroho ngumu sana hata furaha sijui mnaipataje ndoani duh...
roho ngumu yetu umeigunduaje na wewe sio mhusika? mtuache bhana. let past be past na tugange yanayoendelea.

loooh kwa nini mnatukomalia kihiivyo? mtuache kapisaaaa
 
Mi naona swali la kimakini ni pale unapomuuliza mdada like: nakupenda ila nahitaji kufahamu kama upo kwenye mahusiano au la, cos kumbuka mwisho wa siku unaweza ukawa unapita tu huna future nae...nadhani no need to know how many men amejump nao on bed...au kama unahitaji saana kufahamu idadi muwe mmejenga strong communication ya kirafiki zaidi!! kwamba wote mko wazi na hamuoneani aibu...tena mnaweza kujikuta mnaambiana kwa matani hivi na wote mkajicheka nae lazma atakwambia tu bila aibu unless awe ametembea na wengi mno
 
Mbona wanaume ndio hampendi kabsa hilo swali. Ukiuliza unashangaa mada nyngine inaanza gafla. Kimsingi mambo ya mtu ya nyuma yaachwe angalia yenu ya mbelen yataendaje. We m'mke akuambie Abood inajaa utatamtaka tena!? We nenda nae hali utayokutana nayo ni maamuz yko mwenyewe. Na unaweza ukapewa ukwel ukakuuma sn ukajuta ht kwann uliuliza. Focus for de future
 
Mimi nikiwa na mwanamke mpya siangalii alipotoka alikuwa sijui na wanaume 1 au 100
Mimi naangalia yangu tu
 
Hehe..na kama mnalitambua hilo kwamba hakuna mwanaume atapenda kuwa na mtu wa aina hiyo kwa nini mfanye kabla ya ndoa? afu mnachukulia poa yaani ni aibu kubwa mno mwanamke lazima ujitunze, mwanamke ni kwa ajili ya mwanaume mmoja tu aisee.
 
Mimi nikiwa na mwanamke mpya siangalii alipotoka alikuwa sijui na wanaume 1 au 100
Mimi naangalia yangu tu
Kwamba na we unajipakulia unasepa...afu wamo humu wanakusapoti tu, dunia inaelekea mwisho aisee, leo mwanamke anaona fahari kuwa na ujuzi wa aina za duduz..hehe
 
roho ngumu yetu umeigunduaje na wewe sio mhusika? mtuache bhana. let past be past na tugange yanayoendelea.

loooh kwa nini mnatukomalia kihiivyo? mtuache kapisaaaa
Halafu unaenda kuombewa eti hupati mume!! Kah..umechafua background yako mwenyewe then unaenda kumlaumu Mungu huolewi..utaishia kuwa chakula ya wapita njia mpaka mwisho wa dahari
 
Mbona wanaume ndio hampendi kabsa hilo swali. Ukiuliza unashangaa mada nyngine inaanza gafla. Kimsingi mambo ya mtu ya nyuma yaachwe angalia yenu ya mbelen yataendaje. We m'mke akuambie Abood inajaa utatamtaka tena!? We nenda nae hali utayokutana nayo ni maamuz yko mwenyewe. Na unaweza ukapewa ukwel ukakuuma sn ukajuta ht kwann uliuliza. Focus for de future
na kwa nn uvue kabla ya ndoa
 
roho ngumu yetu umeigunduaje na wewe sio mhusika? mtuache bhana. let past be past na tugange yanayoendelea.

loooh kwa nini mnatukomalia kihiivyo? mtuache kapisaaaa
kwa nini usiwe mkwel kama ulishazini na wanaume wengi
 
Hao wanaojielewa ndio waongo sana mara hakawii kukwambia mimi bado bikra kumbe anakutia hamu siku ukifanikiwa kumpata wakutana na no test gazeti uwazi
Ulishakutana na wanaojielewa wangapi na wakakudanganya hivyo?
 
Hili swali mbona nyie wanaume hampendi kuulizwa? Tena kuna mmoja alishaleta uzi hapa akauliza mwanamke akiuliza hili swali anamaanisha nini kama sijakosea mkacoment weeee mwisho mkasema wanauliza hivo sababu wanpenda kudanganywa coz wanajua kabisa hawataambiwa ukweli. Mbona na nyie mnauliza sasa au na nyie mnapenda kudanganywa? Au mwanaume anaruhusiwa kuuliza ila mwanamkè haruhusiwi?
 
Mi naona swali la kimakini ni pale unapomuuliza mdada like: nakupenda ila nahitaji kufahamu kama upo kwenye mahusiano au la, cos kumbuka mwisho wa siku unaweza ukawa unapita tu huna future nae...nadhani no need to know how many men amejump nao on bed...au kama unahitaji saana kufahamu idadi muwe mmejenga strong communication ya kirafiki zaidi!! kwamba wote mko wazi na hamuoneani aibu...tena mnaweza kujikuta mnaambiana kwa matani hivi na wote mkajicheka nae lazma atakwambia tu bila aibu unless awe ametembea na wengi mno

Sweetiepie
 
Niliuliza ilo swali nilichojibiwa kimenifanya hadi Leo Ni miaka mitano naishi nae lakini sidhani kama ntatoa ela yangu kwa ajili ya maahali akitaka aende zake
 
Back
Top Bottom