Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

Haya wanajamvi tunaendelea...

Very true.

Na kweli, viwanda vilikuwepo vingi tu.

Hao wanawe je, bado wapo? Au kwa sasa wamehamia Chadema!

Duh, hiyo kali! Chris Lukosi ni nani huyo anaruhusu hayo kufanyika?

Mmmh!

Mmmh!

Nakubaliana na wewe Chris Lukosi, CCM ni beyond repair!

Wala wasomi wa kusimamia ujenzi wa magorofa? Hata kuzuia wanyama wetu kutoroshwa! Kweli Chris Lukosi mpaka hapo umeonesha uchungu mkubwa taifa lako linavyoendeshwa...Lakini mbona ghafla;

Pamoja na hayo bado Chris Lukosi anaweza akalialia hivi;

Kwa kweli hapa sijui Chris Lukosi anamlilia nani...kikundi cha mdundiko cha Chadema au wale wale aliowahi kudai kuwa
Sasa Chris Lukosi, na wewe bila shaka umenunuliwa kama starter motor mpya kwenye engine iliyokufa, sasa vijana wasomi wenzako unawapa tumaini gani. Je na wao unawahimiza watumike kama starter mpya katika a dead engine? Kusema kweli umeniacha hoi...ngoja nikae niwasikilize na wengine wanasemaje.

Mag3
Mtoto wewe mbaya sana, kisa cha kumvua mwenzako nguo ni nini?
Si unakumbuka wale wapemba walio muajiri walivyoanza na yeye siku zile? jamaa aliPIgwa mkwara mpaka akaona bora ajisalimishe...... kazi kwelikweli,

Chezea CCM wewe,

Lakini bado anakipenda chama (CDM)....., ila swala la mkono uende kinywani ndiyo tatizo
 
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea umaarufu kwa sababu ni chama pekee kinachopambana na mafisadi bila ya woga.Kila kukicha Viongozi wetu wa taifa wanazunguka nchi nzima kueneza demokrasia ya kweli na huru. Hivyo basi ni wajibu wetu kuwaunga mkono kwa kuendeleza harakati hizi. Zile enzi za kuogopa au kufikiri kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya familia fulani au majina fulani ya vigogo zimepitwa na wakati. Mkumbuke sababu ya uprising ya egypt ilitokana na waarabu kuchoshwa na utawala wa familia moja kwa muda mrefu. Haya pia tumeyaona Libywa, na Tunisia. Watu hawa walisema tumechoka. Haiwezekani baba amuachie mwana na mwana endeleze utwawala kwa wajukuu, utaratibu huu hautakiwi tena duniani kote. Sisi hapa tumshukuru mwenyezi Mungu katujalia tuko kwenye nchi inayoongozwa kwa demokrasia ya kweli na huru tunaona matunda ya demokrasia hivyo ningependa mafanikio na faida tunazoziona hapa basi na ndugu zetu kule nyumbani waweze kuishi kama sisi. Bila woga wala hofu.

Nadhani wote mnakumbuka chama cha UNIP cha Keneth Kaunda wa Zambia. Chama hiki kilitawala Zambia kwa miaka mingi lakini vyama vingi vilipoingia Zambia Unip ilipotea kabisa kwenye Ramani ya zambia na uchaguzi uliopita UNIP walipata asilimia 0.38% ambayo ni chini ya asilimia moja. Hii ina maana waliopiga kura ni watoto wajomba na mashangazi. Kila mtu alichoka.
Tanzania ni kama gari , Chama kinachotawala ni kama engine na Kiongozi wa nchi ndio dereva.

CCM ni kama engine iliyochoka sana kwa kukosa matunzo mazuri kiasi kwamba hata leo hii ukibadilisha dereva au spare mpya engine hii haiwezi kulipandisha gari letu kwenye mlima mkali wa maendeleo. Engine hii iitwayo CCM haijawahi kufanyiwa overhaul au main service lakini badala yake wao humwaga oil chafu tu bila hata ya kubadilisha oil filter. Na tukifanya mchezo gari litaanza kuporomoka kurudi nyuma.

Ni wakati umefika kwa watanzania kubadilisha engine kwenye gari letu tanzania. Tunatakiwa tufunge engine mpya kabisa iitwayo Chadema.

Chadema Chini ya madereva wetu Dr Slaa na Mheshimiwa Mbowe tutaweza kupanda mlima huu mkali bila wasi wasi kwa kutumia rasilimali tulizonazo ambazo kila mtu anajua kuwa sisi ni matajiri wa rasilimali tatizo ni CCM, hawana maarifa wala plan ya jinsi ya kuzitumia rasilimali hizi walizozikalia kwa miaka 50 sasa.. Chama chetu kitawapa nafasi wasomi na watu wote wenye vipaji, walete maarifa yao kwenye sekta ya viwanda , madini na mariasili kitu ambacho
CCM imeshindwa kuwatumia. Badala yake utwasikia tu mara kilimo kwanza mara kilimo ni uti wa mgongo au kilimo cha kufa na kupona . Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea kilimo peke yake. Kama ni maboga kila mtu analima.

Mimi binafsi ninaamini utajiri wa nchi hutokana na viwanda pamoja na maliasili kama gesi, mafuta, madini mbalimbali nk.
Nchi haiwezi kuwa tajiri kwa kutegemea kilimo, kilimo huchangia asilimia ndogo sana ya uchumi wa nchi.

SIRI YA MAFANIKIO YA TAIFA BORA NI MAARIFA
MAARIFA HUTOKA KWA WASOMI PAMOJA NA WATU MBALI MBALI WENYE UJUZI
SERIKALI YETU IMESHINDWA KUWATUMIA WASOMI WETU BADALA YAKE IMEWATELEKEZA NA KUWAACHA WAKIBEBA BOKSI ULAYA NA MAREKANI.

Wachina walikuwa masikini sana miaka ya nyuma, na viwanda vingi vya wamarekani na nchi nyingine tajiri vilijengwa china kwa sababu ya cheap labour.
Wachina waliamua kutumia wasomi wao na watu wenye ujuzi kujifunza maarifa wanayotumia wamarekani na mataifa tajiri. Badaad ya hawa watu kuyapata maarifa waliamua kuanza kujenga viwanda vyao wenyewe nma kutengeneza malighafi kama zile za wamarekani kwa bei nafuu, hii iliwasaidia kumaliza masoko yote nchi za africa na asia.
Uchumi wa china umekua kwa maarifa, sasa kwa nini na sisi uchumi wetu usikue kwa maarifa.

Unasema kilimo kwanza halafu unanunua jembe la disc plough ulaya wakati hili jembe linaweza kutengenezwa pale ZZK au UFI? Disc plough inaweza kutengenezwa na fundi welder wa kawaida kabisa kama akipewa mafunzo madogo tu.

Unasema kilimo kwanza wakati pamba inayolimwa mwanza inapelekwa China kutengeneza nguo halafu hizo nguo zinarudishwa tanzania kuuzwa. kwa nini usiwachukue wasomi wakasomee mambo ya viwanda vya nguo China warudi nyumbani wakatengeneze hizo nguo pale Mwatex?

Viwanda tunavyo
Wasomi tunao
Malighafi tunazo
Mengine mtamalizia wenyewe PIPOOOOZ!
Kumbe huyu jamaa alikuwa anaakili siku za nyuma eee...Aisee nini kilikubadilisha mkuu? au nawewe njaa kali kama akina mwampamba na shonza? uliporejea bongo ulijisikiaje kukabiliana na foleni za kila mahali kuanzia barabarani mpaka kwenye ATM? ulijisikiaje ulipo enda kupata huduma za afya baada muda mrefu? umeme wa mgawo, maji ya mgawo? miundo mbinu duni, beach chafu...Pamoja na hayo yote umeenda CCM? kazi kweli kweli ...Wasomi wa nchi hii ndo wenye kuiangamiza nchi yetu...
 
Haya wanajamvi tunaendelea...

Very true.

Na kweli, viwanda vilikuwepo vingi tu.

Hao wanawe je, bado wapo? Au kwa sasa wamehamia Chadema!

Duh, hiyo kali! Chris Lukosi ni nani huyo anaruhusu hayo kufanyika?

Mmmh!

Mmmh!

Nakubaliana na wewe Chris Lukosi, CCM ni beyond repair!

Wala wasomi wa kusimamia ujenzi wa magorofa? Hata kuzuia wanyama wetu kutoroshwa! Kweli Chris Lukosi mpaka hapo umeonesha uchungu mkubwa taifa lako linavyoendeshwa...Lakini mbona ghafla;

Pamoja na hayo bado Chris Lukosi anaweza akalialia hivi;

Kwa kweli hapa sijui Chris Lukosi anamlilia nani...kikundi cha mdundiko cha Chadema au wale wale aliowahi kudai kuwa
Sasa Chris Lukosi, na wewe bila shaka umenunuliwa kama starter motor mpya kwenye engine iliyokufa, sasa vijana wasomi wenzako unawapa tumaini gani. Je na wao unawahimiza watumike kama starter mpya katika a dead engine? Kusema kweli umeniacha hoi...ngoja nikae niwasikilize na wengine wanasemaje.

Mkuu safi saana! Haiyatul munafik Thalatha! Dalili ya mnafiki ni 3! Mwongo, Hatimizi ahadi, Hugombanisha watu! vyote hivi ni sifa za kuwa mwana CCM...
 
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea umaarufu kwa sababu ni chama pekee kinachopambana na mafisadi bila ya woga.Kila kukicha Viongozi wetu wa taifa wanazunguka nchi nzima kueneza demokrasia ya kweli na huru. Hivyo basi ni wajibu wetu kuwaunga mkono kwa kuendeleza harakati hizi. Zile enzi za kuogopa au kufikiri kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya familia fulani au majina fulani ya vigogo zimepitwa na wakati. Mkumbuke sababu ya uprising ya egypt ilitokana na waarabu kuchoshwa na utawala wa familia moja kwa muda mrefu. Haya pia tumeyaona Libywa, na Tunisia. Watu hawa walisema tumechoka. Haiwezekani baba amuachie mwana na mwana endeleze utwawala kwa wajukuu, utaratibu huu hautakiwi tena duniani kote. Sisi hapa tumshukuru mwenyezi Mungu katujalia tuko kwenye nchi inayoongozwa kwa demokrasia ya kweli na huru tunaona matunda ya demokrasia hivyo ningependa mafanikio na faida tunazoziona hapa basi na ndugu zetu kule nyumbani waweze kuishi kama sisi. Bila woga wala hofu.

Nadhani wote mnakumbuka chama cha UNIP cha Keneth Kaunda wa Zambia. Chama hiki kilitawala Zambia kwa miaka mingi lakini vyama vingi vilipoingia Zambia Unip ilipotea kabisa kwenye Ramani ya zambia na uchaguzi uliopita UNIP walipata asilimia 0.38% ambayo ni chini ya asilimia moja. Hii ina maana waliopiga kura ni watoto wajomba na mashangazi. Kila mtu alichoka.
Tanzania ni kama gari , Chama kinachotawala ni kama engine na Kiongozi wa nchi ndio dereva.

CCM ni kama engine iliyochoka sana kwa kukosa matunzo mazuri kiasi kwamba hata leo hii ukibadilisha dereva au spare mpya engine hii haiwezi kulipandisha gari letu kwenye mlima mkali wa maendeleo. Engine hii iitwayo CCM haijawahi kufanyiwa overhaul au main service lakini badala yake wao humwaga oil chafu tu bila hata ya kubadilisha oil filter. Na tukifanya mchezo gari litaanza kuporomoka kurudi nyuma.

Ni wakati umefika kwa watanzania kubadilisha engine kwenye gari letu tanzania. Tunatakiwa tufunge engine mpya kabisa iitwayo Chadema.

Chadema Chini ya madereva wetu Dr Slaa na Mheshimiwa Mbowe tutaweza kupanda mlima huu mkali bila wasi wasi kwa kutumia rasilimali tulizonazo ambazo kila mtu anajua kuwa sisi ni matajiri wa rasilimali tatizo ni CCM, hawana maarifa wala plan ya jinsi ya kuzitumia rasilimali hizi walizozikalia kwa miaka 50 sasa.. Chama chetu kitawapa nafasi wasomi na watu wote wenye vipaji, walete maarifa yao kwenye sekta ya viwanda , madini na mariasili kitu ambacho
CCM imeshindwa kuwatumia. Badala yake utwasikia tu mara kilimo kwanza mara kilimo ni uti wa mgongo au kilimo cha kufa na kupona . Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea kilimo peke yake. Kama ni maboga kila mtu analima.

Mimi binafsi ninaamini utajiri wa nchi hutokana na viwanda pamoja na maliasili kama gesi, mafuta, madini mbalimbali nk.
Nchi haiwezi kuwa tajiri kwa kutegemea kilimo, kilimo huchangia asilimia ndogo sana ya uchumi wa nchi.

SIRI YA MAFANIKIO YA TAIFA BORA NI MAARIFA
MAARIFA HUTOKA KWA WASOMI PAMOJA NA WATU MBALI MBALI WENYE UJUZI
SERIKALI YETU IMESHINDWA KUWATUMIA WASOMI WETU BADALA YAKE IMEWATELEKEZA NA KUWAACHA WAKIBEBA BOKSI ULAYA NA MAREKANI.

Wachina walikuwa masikini sana miaka ya nyuma, na viwanda vingi vya wamarekani na nchi nyingine tajiri vilijengwa china kwa sababu ya cheap labour.
Wachina waliamua kutumia wasomi wao na watu wenye ujuzi kujifunza maarifa wanayotumia wamarekani na mataifa tajiri. Badaad ya hawa watu kuyapata maarifa waliamua kuanza kujenga viwanda vyao wenyewe nma kutengeneza malighafi kama zile za wamarekani kwa bei nafuu, hii iliwasaidia kumaliza masoko yote nchi za africa na asia.
Uchumi wa china umekua kwa maarifa, sasa kwa nini na sisi uchumi wetu usikue kwa maarifa.

Unasema kilimo kwanza halafu unanunua jembe la disc plough ulaya wakati hili jembe linaweza kutengenezwa pale ZZK au UFI? Disc plough inaweza kutengenezwa na fundi welder wa kawaida kabisa kama akipewa mafunzo madogo tu.

Unasema kilimo kwanza wakati pamba inayolimwa mwanza inapelekwa China kutengeneza nguo halafu hizo nguo zinarudishwa tanzania kuuzwa. kwa nini usiwachukue wasomi wakasomee mambo ya viwanda vya nguo China warudi nyumbani wakatengeneze hizo nguo pale Mwatex?

Viwanda tunavyo
Wasomi tunao
Malighafi tunazo
Mengine mtamalizia wenyewe

CCM kama UNIP ya Zambia ifikapo 2015 kura zao zitatoka kwa watoto wa vigogo, wajomba na close relatives
On 23 September, Chief Justice Ernest Sakala announced Sata the winner of the election with 1,150,045 votes, or 43%, with 95.3% of votes counted. Banda received 961,796 votes, or 36.1%, and other minor parties trailed in the poll.[SUP][5][/SUP][SUP][11][/SUP] Sata was sworn into office later that day

SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM

PIPOOOOZ!

Thanks Chris
 
Back
Top Bottom