Kwanini Tumefika Huku?

Peter Mwaihola

JF-Expert Member
Jun 23, 2022
227
333
Nawaza lakini sipati majibu yanayoweza kutosheleza uwingi wa maswali yaliyo katika fikra zangu.

Nikisema ni njaa inauma kuliko kawaida hadi kugeuza akili za watu ukawa uzuzu ili mradi wapate sahani ya ugali, nasema hapana hii imezidi.

Kwamba ni uzalendo uliokithiri ama ni mahaba ya kiitikadi? lakini yamevuka mipaka mpaka yanaenda kuharibu uadilifu wa anayepaliliwa.

Tuseme nini kingine au elimu yetu ndiyo tatizo imetujenga kuitumia pasipo mantiki, mpaka tumehusihanisha utashi wetu na uhuni?.

Nawaza Sana lakini bado sipati jibu nini kimetufikisha hapa au tatizo ni kuwalea wahuni na kuwapa fadhira zinazowapooza njaa zao hivyo wanaona uhuni ni njia sahihi ya kutoka kimaisha?.
Huyu anayepaliliwa hadi kukosewa heshima ya uadilifu halioni hili au ameridhika kupaliliwa mpaka kukatwa mizizi?

Au ni mfumuko wa bei na ugumu wa maisha umefanya watu tuunde mbinu ambazo zinatufanya tuonekane wenda wazimu?.

Tunaweza kujiita wahalifu ili tuonekane tuna mahaba kwa wale tunaowapenda, hii Itatusaidia nini?

Lugha nayo imekuwa kikwazo katika taifa hili pendwa la watu wapole ndio maana mahakama zinaombwa ziweke tafsiri ya lugha ya kiswahili kwenye nyaraka zake za kisheria.

Watu wanashindwa kupata kazi kwa sababu ya lugha ngumu zinazotumika kwenye usaili ndio maana serikali inasisitiza kuwa lugha ya kiswahili itumike kwenye usaili nchini.

Bado nawaza nini kimetufikisha huku kama taifa?
Huenda hata majirani wakiona matendo yetu huchekea chini.

Peter Mwaihola
Photo_1676261080252.jpg
 
Peter MwaiholaView attachment 2515647
Njaa Imetoka tumboni na kuhamia kichwani
 
Machawa wenye njaa wametufikisha huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom