Kwanini traffic wengi ustaafu wakiwa maskini na wasioweza kujitegemea?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi

Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni ndogo sana jambo ambalo linawafanya wasimalize hata nyumba na kwa wale walio na nyumba wana tabia ya kununua dala dala ambazo pia ufa kwa kukosa matunzo.

Je , tabia yao ya kazi ndiyo inawapelekelea kuwa tegemezi? Kama ndivyo kwanini wasipangiwe majukumu mengine hasa yanayowalazimisha kuishi bila kitu kidogo?

Kwa upande mwingine, Kwanini jeshi la polisi wasiweke utaratibu wa kuwafundisha medali za ujasiriamali na maandalizi yakustaafu wakazitumie uraiani?
 
Tenga sufuria ya ugari nareta mbonga sasa hivi!
 
Unamuuliza nani?
 
Tujifunze kwa wanaostaafu miaka hii 2020 kuja juu...ni kweli nao wako hivyo ? Kuna mmoja namjua anafuga kuku wengi mbuzi na kitu moto kwa sana.....ana usafiri wake naona anasonga tuuu
 
Pesa za mchongo hata mwisho wake huwa kimchongo mchongo, kibali cha dhulma toka Kwa watawala kinawatesa na hii Kwa karibu watumishi wengi wa serikali wenye mienendo ya michongo .
 
Nina askari mmoja traffic amestaafu na anashinda na yeboyebo maisha yake ni duni kabisa.
Laana ya kupenda pesa za bure wawapo kazini.
 
mimi naomba niongezee swali, sio kwa nia mbaya .....

Ivi katika vyombo vya usalama, haswa police nani anamfano hai kuonesha jamaa wanaishi maisha mazuri nnahitaji kujifunza

Wastaaf wao maisha yapoje?
 
Sasa kama mtu anastafu anapewa 1 ya 3 ambayo ni milioni 17 unategemea nini! Halafu nyingine unakuwa unapewa 250 sijui kila mwezi.
 
Kwa sisi tuliyoanza kuendesha magari
Kitambo,kulikuwa na traffic anaitwa kimti aise dah nlikuwa napambana naye sana
Haya maisha haya siyo
ILA UKIWA POLICE KAMA UKIWA KAZINI ULIKUWA FAIR HATA UKISTAAFU/UKITOKA KAZINI URAIANI UTAPETA
ILA KAMA ULIKUWA UNAKAZA MTAANI HUKO UKIJA UTAKAZIWA TU

ova
 
Pana Trafiki mmoja wa TA huko tulikua tunamwambia mazee mbona unapiga mkono mpaka gari zako za nyumbani na muda mwingine unaziandikia alikua anasema mimi nikifa ntapelekwa na PT sitegemei msaada wowote Mungu ni mwema kastaafu alienda kijijini na kiinua mgongo kimeisha sasa hivi yupo stand ya Arusha hapo anaunga unga kwenye Tiketi yupo faster balaa na kawa mpolee watu wanamwangalia tuu...
 
Sasa kama mtu anastafu anapewa 1 ya 3 ambayo ni milioni 17 unategemea nini! Halafu nyingine unakuwa unapewa 250 sijui kila mwezi.
Tunakoenda sio huyo TU, kikokotoo Cha 33.3% kitauwa wengi kama ilivyo kufutwa Kwa FAO la kujitoa ni chanzo kikubwa Cha umasikini
 
Mbuzi ula kutokana na urefu wa kamba yake, mafisadi kibao wanakula pesa zetu za kodi na wanadunda, kustaafu wengi wanaporomoka kiuchumi sio polis au trafiki tu, mbona Kuna manesi, wajeshi, ma Dr, wapo waliostafu na wanafanya kazi kwenye private tu.
 
Back
Top Bottom