Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 914
- 4,264
Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi
Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni ndogo sana jambo ambalo linawafanya wasimalize hata nyumba na kwa wale walio na nyumba wana tabia ya kununua dala dala ambazo pia ufa kwa kukosa matunzo.
Je , tabia yao ya kazi ndiyo inawapelekelea kuwa tegemezi? Kama ndivyo kwanini wasipangiwe majukumu mengine hasa yanayowalazimisha kuishi bila kitu kidogo?
Kwa upande mwingine, Kwanini jeshi la polisi wasiweke utaratibu wa kuwafundisha medali za ujasiriamali na maandalizi yakustaafu wakazitumie uraiani?