Kwanini thamani ya baba katika familia nyingi haitambuliki?

Mada umewamulika wababa, lakini wapo wamama pia ambao hawana thamani mbele ya watoto wao (japo wachache).

Lakini ipo hivi, hivyo unaweza ukaona tatizo lipo wapi, ila linadhihitika zaidi kwa akina baba kwa sababu kutoka na nafasi zao wanahitajika kufanya jitihada kubwa ili kuweka mambo sawa.
 
Baba ako alilukuwa tegemezi hakuwa anatoa asilimia mia 40 ndio mana roho zenu zipo kwa mama yenu .

Kama umesikiliza redio 5 au capital kuna mtu anasema kuna daddy na baba , hii nitofauti kwa mtoto.

1.huyo dady watu wanamkimbilia maana ndio anatunza familia

2. Baba huyo wai hakuna anaenda kumpokea wanakata tamaa . Maana hawatunzi familia zao so ujue hilo jamani . Yah
Bado ni fikra za kujinyanyapaa waafrica na tamaduni zetu .
 
Wanasema Mama anafundisha Upendo wakati Baba anakufunza ku pambana na njia ngumu! At last uta elewa lipi ni lipi
 
Sababu baba anacheza Silent roles kama Kuandaa makazi ya familia,Iwe kwa kodi au kujenga,kulipa ada na kuhudumia malisho ya familia,mama ataenda kuwanunulia nguo.
 
Back
Top Bottom