Kwanini "soko la siasa liko juu?"

G.JUMA

Senior Member
Dec 12, 2011
111
17
Habari za wakati huu wapendwa wa JF. Kunasuala linanitatiza kwa kipindi kirefu sasa.
Katika hali isiyo ya kawaida katika nchi yetu ya TANZANIA Kwa sasa watu wengi wapendelea upande wa siasa kuliko shughuli nyingine kwa mfano
-nikianza na kiongozi wangu wa kwanza wa nchi yangu mar mwl.J.k.NYERERE alikuwa mwalimu ila akahamia upande wa siasa.
-ukitazama kwa umakini katika BUNGE letu wapo wabunge wakio acha shughuli zao na kuhamia kwenye siasa.
Hivyo naomba mchango wa mawazo yenu ili niweze kuongeza ufahamu katika ubongo wangu.
 
Back
Top Bottom