mujemaso
Senior Member
- Apr 26, 2012
- 112
- 44
Bidens pilosaMkuu asante ila kuna yale magugu uwa yana vidude vyeusi ukiingia shambani vinanasa kwenye nguo ile botanical name yake ni kiboko kama unayo tupatie tafadhali.
Kuna jamaa alifanyia research Cajanus cajan chuo wakati akipambana na degree yake ya kwanzaTerminalia catapa = Mkungu
Cajanus cajan = kunde
Haya huwa yananichekesha Sana na sijayasahau tangu nimesoma classification form two in late 90's
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alifanyia research Cajanus cajan chuo wakati akipambana na degree yake ya kwanza
Magucreture Jiwenita
Ugumu kama kawaida mkuu
apana nashona nguo ni mimosapodika
Angalia vizuri, Mimosa pudica ni gugu fulani ukiligusa linajikunja. Mashona nguo ni Bidens pilosa
Sent using Jamii Forums mobile app
una utani na wasiojulikana eh?Wanafanya kusudi tu.Na utani ndani yake.Sasa unajua "magucreture jiwenita dicterius uchwarias" ni nini?Hahahahahaaa
Ni kwasababu majina hayo ni ya Kilatini na kilatini ni lugha tamu sana. Pia ni lugha inayosisitiza kila neno au herufi kama Kiswahili vile. Ukitaka upate utamu wa sayansi basi isome katika lugha ya Kilatini.Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapotaja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli huwa yana sound vizuri sana.
Kama na wewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Canica papayaZee mays
Carica papaya
Zingiber offisinalis
Canica papaya