Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapotaja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli huwa yana sound vizuri sana.

Kama na wewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Ni kwasababu majina hayo ni ya Kilatini na kilatini ni lugha tamu sana. Pia ni lugha inayosisitiza kila neno au herufi kama Kiswahili vile. Ukitaka upate utamu wa sayansi basi isome katika lugha ya Kilatini.
 
Back
Top Bottom