Jamani mbona hivi karibuni alikuja rais wa Somali, Comoro, au mnataka mpaka aje Obama ndipo mjue rais wetu anapendwa?
wote hao nchi zao zimewashinda ni kama siyo Marais vile
Jamani mbona hivi karibuni alikuja rais wa Somali, Comoro, au mnataka mpaka aje Obama ndipo mjue rais wetu anapendwa?
Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).
Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?
Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.
Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.
Nipo tayari kukosolewa
Now days bana ukitaka post yako ipate replies nyingi we andika chochote kumponda JK
Ugreat thinker wote utaisha, watu wataanza kuchangia mada kishabiki kama walevi vile
Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).
Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?
Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za africa na ndio maana maraisi wa malawi, botswana, msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.
Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.
Nipo tayari kukosolewa
Kila siku hayupo, watamtembeleaje?
Hivi ni kweli Mu7 kamtembelea!Alitembelewa na Museveni wiki iliyopita
ana marafiki wakuu wawili katika africa - Muswati na Zhuma - bado napeleleza kiini cha urafiki wao.
Kuhusu kumtembelea - simpo kama mdau alivyosema - wewe kila siku kiguu na njia kusaka misaada, sasa waje kutembelea nini? majengo ya ikulu?
nimeshajibu hili soma posts zote utaona kuna swali pia naomba uisome halafu jibu.[/B][/I][/U]teh teh teh... yaani wakati mwingine sijui mnafikiria kwa kutumia nini duh. mbona YOWERI KAGUTA MUSEVENI alikuwepo nchini last week tu.