Nikisikiliza hotuba ya Rais kijana wa Burkina Faso halafu nikiangalia na viongozi wetu Tanzania moyo unauma!

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,257
34,205
Juzi juzi hapo marais wa Afrika waliungana katika mkutano wa Urusi na Afrika. Kila kiongozi alipewa nafasi ya kutoa yake. Nadhani katika hotuba zilizofunika ni za huyu "rais kijana" wa Bukina faso!

Nikakaa nikawaza aina ya viongozi wetu hapa bongo kuanzia juu mpaka chini ambao baadhi yao kazi yao kuu ni kumpamba rais nikabaki naumia tu!

Juzi juzi hapo marais wa afrika waliungana katika mkutano wa Urusi na Afrika. Kila kiongozi alipewa nafasi ya kutoa yake. Nadhani katika hotuba zilizo funika ni za huyu "rais kijana" wa Bukina faso!

Nikakaa nikawaza aina ya viobgozi wetu hapa bongo kuanzia juu mpaka chini ambao baadhi yao kazi yao kuu ni kumpamba rais nikabaki naumia tu!
Ninachokiona ni muda tuu Africa yote itaingia ktk mapinduzi, na mapinduzi yatafanywa na vijana.
 
Umeanza kufuatilia siasa za Afrika lini? West Afrika mapinduzi yameanza leo? Kuna ahueni gani ya kimaisha kwa wananchi pamoja na mapinduzi yao?

Kama hujui ndo nchi zenye umaskini na maisha ya hovyo zaidi pamoja na kuwa na mapinduzi miaka nenda rudi
 
Juzi juzi hapo marais wa afrika waliungana katika mkutano wa Urusi na Afrika. Kila kiongozi alipewa nafasi ya kutoa yake. Nadhani katika hotuba zilizo funika ni za huyu "rais kijana" wa Bukina faso!

Nikakaa nikawaza aina ya viobgozi wetu hapa bongo kuanzia juu mpaka chini ambao baadhi yao kazi yao kuu ni kumpamba rais nikabaki naumia tu!
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine waliowahi kufanya mapinduzi huko nyuma!
Miaka nenda rudi wanajeshi wanafanya mapinduzi Afrika Magharibi ila kuna chochote cha maana wanaletaga hasa kwa maisha ya wananchi zaidi ya kuwasababishia umaskini tu?
 
Captain Ibrahim Traore.
FB_IMG_1690997374968.jpg
 
Huyu jamaa asee daah! Anaongea kwa umakini mpaka unataman kuendelea kumsikiliza! Nadhan Putin alishangaa sana!
Kwani alisemaje maana sie wengine hatujui kifaransa halafu mapinduzi sio soln ya kuwaondoa marais wetu madarakani.Kumbukeni kulikuwa na mapinduzi huko Zanzibar miaka ya 1960's lakini mwisho wa siku Zanzibar ikawa koloni la Nyerere
 
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine waliowahi kufanya mapinduzi huko nyuma!
Miaka nenda rudi wanajeshi wanafanya mapinduzi Afrika Magharibi ila kuna chochote cha maana wanaletaga hasa kwa maisha ya wananchi zaidi ya kuwasababishia umaskini tu?
Hivi Col Mamadou Doumbia yeye kaishia wapi?
 
Juzi juzi hapo marais wa afrika waliungana katika mkutano wa Urusi na Afrika. Kila kiongozi alipewa nafasi ya kutoa yake. Nadhani katika hotuba zilizo funika ni za huyu "rais kijana" wa Bukina faso!

Nikakaa nikawaza aina ya viobgozi wetu hapa bongo kuanzia juu mpaka chini ambao baadhi yao kazi yao kuu ni kumpamba rais nikabaki naumia tu!
MZALENDO mwingine amechipukia Bukinafaso!!
 
Back
Top Bottom