Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
- Thread starter
- #141
Mkuu hili nalo neno sijapata kufikiria kabsa kwanini kweli wenzake hawaji tz?
Ndio maana nimeanzisha huu uzi ili tujadili sababu na tuchukue hatua wakati mwingine tusifanye makosa.