cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,336
- 138,309
Watu wana visa mnooo.Yani Nimecheka mpaka basi!
Watu wana visa mnooo.Yani Nimecheka mpaka basi!
Wameshatu wini Viongozi wao hawaji kwetu Yani hatuwezi kulipiza labda tusubili Simba na Yanga wakisajiri mchezaji kutoka Ghana na Sisi tuwatume waokota makopo waka wapokee uwanja wa JK Nyerere, lakini tukitegemea Raisi wao kuna siku atakuja Bongo tutasubili miaka MillionInatudhalirisha nchi nzima aisee
Ngoja na wao waje! Tutawapa Zitto kuwapokea we waache tu!
Si alipokelewa na watanzania, ubaya uko wapi?Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
Tutofautishe kati ya work visit na State visit!!Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
It's the second law of thermodynamics.Unajua
Unajua JF imeingiliwa na wasiokuwa na uwezo wa kufanya study kabla ya kukimbilia kwenye keyboards. JF inapoteza its status of being a forum for great thinkers
Mtufukuze sasaUnajua
Unajua JF imeingiliwa na wasiokuwa na uwezo wa kufanya study kabla ya kukimbilia kwenye keyboards. JF inapoteza its status of being a forum for great thinkers
Sielewi nini kimekwenda tofauti katika diplomatic...
Zamani mapokezi ya wakuu wa nchi yalikiwa kama tulivyo mfanyia Obama.
Hata kwa mkuu wa nchi ndogo akifika basi alipewa mapokezi ya heshima ya juu mno... sijui what went wrong
Ukiondoa Nyerere ni Rais yupi wa Tz alienda marekani akapokelewa na rais mwenzake.Labda hiyo safari siyo rasimi kwa serikali ya Ghana. Kama ilivyokua Royal Tour, ile safari haikua rasimi kwa Rais wa Marekani ndiyo maana hakupokelewa na Biden. Hiyo ya Ghana kwa picha hiyo, kama ndiyo yenyewe, mapokezi hayo si ya level ya Rais wa nchi.
Cc kagoshima usitukane watu kwenye ukweli.
Kazi gani hiyo???Mavazi mara mwengine lijamaa halina kisogo? Kabisa ni hoja hii? Aisei ! Hebu basi tumuache Rais afanye kazi. Maana hoja nyingine urojo sana!🙏🙏
wewe kalio tu kazi kupiga kelele za kusifu hata hujui gharama za protocal.Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko Team ya Rais wa Ghana na WA Tanzania au?
Kajinyongewewe kalio tu kazi kupiga kelele za kusifu hata hujui gharama za protocal.
team hizo kama zimejaza maandazi kama wewe matokeo ndio haya.
Huo ndio ukweliInawezekana mama anajialika mwenyewe
Asingeweza kypokelewa na hao mbaosema maana hajaalikwa kajipangiana gharama zote zinazo husu hiyo safari wanajilipia na Kazi ya kutafuta pa kulala wameidanya wenyeweTangu lini Rais wa nchi akapokelewa na viongozi mbalimbali?
Nadhani hadhi ya Rais alipaswa kupokelewa na watu rasmi wanaojulikana kwa majina na vyeo vyao.
Aibu jamani dah tumefikaje huku?Asiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
Umesoma vizuri andiko lake? Yeye kauliza sasa kama wewe wajua msaidie kumjulisha. Sasa unamwita mpimbavu wewe unajua nini kuhusu hayo aliyoyauliza?We ni mpumbavu na mwenye dharau sana