Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
kaka naona upo nyuma sana katika hili la 'memorandum of understanding' naomba nenda kamuulize Padri wako atakwambia, ni mashirika mengi ya Kikristo kama mashule na Hospital yanakuwa funded na serikali ya Walipakodi wote wakiwamo Waislamu.
kuhusu OIC kaka, si sera ya OIC kusaidia waislamu pekee, haina ubaguzi, Kuna nchi zaidi ya 20 Africa zimejiunga na OIC na wananchi wake wote wanafaidika, kuna nchi hata za ulaya kama Uingereza amabapo waislamu ni minority sana lakini mbona kuna OIC?
nguzo, ktk hayo mashirika/taasis za kidini zinazopata ruzuku kutoka serikalini kuna taasis/shirika linalohudumia wakristo peke yake?. Je hospitali ya kcmc na au bugando zinahudumia wakristo pekee?