Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

Tatizo kubwa ni CCM. CCM na mabosi wake wamejimilikisha viwanja vyote kwenye prime areas, na nyumba zote za serikali walijiuzia kwa hela ndogo sana.

Sasa wageni wakitaka nyumba au viwanja kwenye maeneo mazuri, hujikuta wameangukia kwenye mikono ya mafisadi papa wa CCM, hapo huropoka tu bei bila kujali thamani halisi ya kiwanja /mali hiyo.

Hutaki sepa atakuja mwingine.
 
Masaki, Oysterbay, Upanga, Sea View, Mbezi Beach etc. Kama ina mantiki fulani hivi.
 
Back
Top Bottom