Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
 
kwasababu alikuwa kiongozi mbovu na mdini alepindukia. Nyerere alikuwa dikteta, asie na ubinadamu wala utu. Kagame wa rwanda ni bora mara 100 ya nyerere.
 
Kabla ya kuleta thread fanya tafiti za kutosha., sio kukurupuka. From what I know shule kama tosamaganga, songea boys and girls, iringa girls hizi ni baadhi tu, zilikuwa zinamilikiwa na wakatoliki zikataifishwa.
Jitahidi kuumiza kichwa kidogo kabla ya kuandika mkuu.
 
Alie mteuwa dr salim kuwa waziri mkuu ni nani? Pia alie mpa kawawa uwaziri mkuu ni nani? Kama alikuwa mdini hao walitoka wapi? Pia alie mpisha kiti mwinyi akae ni nani pale ikulu? Nyerere alikuwa na uwezo wa kumrithisha urais mkiristo mwenzie, ila alitaka fair ndio maana akampa alhaji. Tuwe na kauli nzuri,mbona mkapa anatajwa kwa mafisadi? Ni muislam? Mbona lowassa alisakamwa hadi akatoka ni muislam? Acheni kumnanga nyerere alikuwa bora kuliko wote watatu walio mfuatia, hakuuza nchi kama wanavyo fanya hawa viongozi wetu. Unahakika kuwa hakuzitaifisha shule za katoriki? Ihungo sekondari na Rugambwa zilikuwa za kwenu? Fanya utafiti sio kukaririshwa huko unakuja kuropoka. Tabora boys ilikuwa yako? Pugu je?
 
Kabla ya kuleta thread fanya tafiti za kutosha., sio kukurupuka. From what I know shule kama tosamaganga, songea boys and girls, iringa girls hizi ni baadhi tu, zilikuwa zinamilikiwa na wakatoliki zikataifishwa.
Jitahidi kuumiza kichwa kidogo kabla ya kuandika mkuu.
Hata Umbwe, Ndanda zilikuwa za Kanisa. Mtoa mada ufanye utafiti la sivyo tutakuwa na haki ya kuamini kuwa unataka kuleta uchochezi!
 
pamoja na hizo shule walizozisema walotangulia, pia SANGU SEKONDARI MBEYA ilikua yako? CHUO CHA UALIMU MOROGORO nacho kilikua chako kabla ya kutaifishwa? Fanya tafiti ewe mtoa mada mpu.mbavu
 
Mods toa huu uzi, hatuna muda wa kujadili past tense tunajadili present and future tense. Mbona karume hamja weka madhaifu yake humu? Au yeye alikuwa perfect kama malaika?
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

In referencium......

Ndanda is home to Ndanda High School, an A level all-boys boarding school with approximately 1200 students. The school was created by the Benedictines of Ndanda Abbey but it is now a Government school.
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Kigonsera ilikuwa inamilikwa na nani?..ma sasa nani anamiliki....fikiria
 
Yaani ukiishaolewa na muhamadi unaobdokewa uwezo wa kufikiri. We endelea kushinda kwenye bao na kutafuna kashata........pengine hapo ulipo uko tayari kwa kujulipua ili uende peponi.
 
Ngaza,Nsumba,Bwiru boys and girls zilikua madrasa? Mtoa mada mbona huna akili? Na unataka kusema alitaifisha shule za waisilamu? Viroba hatari sana
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Meriam Webster dictionary imeandika seminary ni "1 : a private school at or above the high school level, 2 : a school for the training of priests, ministers, or rabbis." Sasa za wakatoliki nia yake ni hii ya pili. Angezitaifisha mapadre etc wangefundishiwa wapi?. Kwa maana ya kwanza ndio zile shule nyingi ambazo zilitaifishwa kama St. Francis College Pugu (Sasa ni Pugu Secondary School). Kufundisha mapadre sio jukumu la serikali (kwa tanzania) hivyo hakuna mantiki ya kutaifisha seminary unless kama nia ni kuuwa hizi dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom