Lowasa akiteuliwa kuwa mgombea urais najisaidia haja kubwa kwenye ofisi za chama makao makuu.
Sema basi ukweli weweNdugu, uongo ni dhambi. Tafuta namna nyingine ya kumremba huyo mtu wako lakini si kwa kusema uongo.
Hujijui ndio mana unasema hivyo mkuuhivi nyerere ni kama nani? nyerere ni mtu kama wengine kwangu mm sioni kua kila kitu tuseme angekua nyerere, upuuzi tu
EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ameonyesha nia kubwa sana ya kutaka kwenda ikulu ili kuwakomboa watanzania na matatizo yao lukuki ambayo yanaongezeka kila uchao. LOWASSA amewatumia FRIENDS OF LOWASSA ambao wamemchangia mamilioni ya fedha ambazo katika kuonyesha yeye hana tama hakuzitumia yeye binafsi fedha hizo kama ambavyo wangefanya wengine bali bila kishadushadu wala hiana akazigawa kama alivyopewa kwa vikundi mbalimbali. Kwa kuonyesha yeye ni kiongozi bora na wakupigiwa mfano hakuzigawa kwa wakristo wenzake tu bali pia kwa waislam ab
Ambapo shule kibao za waislam na misikiti vimefaidika kwamisaada hiyo.Hakuishia hapo bali alitoa kwa vikoba na hakujali vikoba ni vyaArusha au lindi au kagera yeye alimwaga pesa. Alipoulizwa maswali ya kizushikuwa huenda fedha hizo zimetokana na money laundering akasema waulizwe FRIENDSOF LOWASSA na sio yeye na pia alipoulizwa je wamelipa kodi jibu lake likawa nihilohilo.
Juzi nilikutana na Mzee KONTWINYE MWAKIFUNGUTE ambae ni mzeewa miaka 81 na alikuwa mwanachama hai wa TANU na sasa CCM na anajuana sana naviongozi wote wa juu wa CCM. Mzee huyu alisema wote wanaodai nyerere hakumpendaLOWASSA na kuwa 1995 alikata jina lake ni waongo wakubwa. Anasema nyerereALIMPENDA SANA, SANA LOWASSA KWANI ALIMKUMBUSHA SOKOINE ambae nyerere alimgroomaje kuwa Rais but akafa. Anasema nyerere hakumtaka Malecela na akatishiakurudisha kadi sio lowassa.
MZEE AMESEMA TUMUENZI NYERERE KWA KUMPA LOWASSA URAIS

Hujijui ndio mana unasema hivyo mkuu
hivi nyerere ni kama nani? nyerere ni mtu kama wengine kwangu mm sioni kua kila kitu tuseme angekua nyerere, upuuzi tu
Mtu wa pwani bila shaka utakuwa mzalamo au mndeleko unakuwa huna nidhamu kwa wakubwa na wazee waliotangulia mbele za haki,hv unaona tabu sana nyerere akisifiwa eeh,na mchango wa nyerere kwenye taifa hili hauna wa kulinganishwa nae,pengine kuna kasoro za hapa na pale na yeye alikuwa ni binadamu kuna wakati alikuwa anakosea,kuwa na heshima
nyerere kama ulivyo ww una mazuri yako, nnalopinga kutaka kutuaminisha kua nyerere kama vile yeye ndio mungu ndie ajuae mema na mabaya yetu, nani anafaa na nani hafai.
nnarejea upuuuzi tena wa wazi