demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,251
- 15,121
- Thread starter
- #81
Ni vyema ukaleta uthibitisho wa utofauti huo ili wanajukwaa wasidhani kuwa unabwabwaja pekee.Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
Leta utofauti huo ili tuujadiri.