Elections 2010 Kwanini ni vigumu kuiba kura katika Uchaguzi Wetu - Tusitafute visingizio

Anachotuambia Mwanakijiji ni kwamba kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995 hakuna wizi wa kura!
 
Asante mzee mwanakijiji, ila mie nna wasiwasi. Wasiwasi wangu ni sijuwi kama watu na hasa wapinzani watakuelewa. Maana humu watu wana jazba kupita kiasi, wamekuwa watu wa kulalamika tu, soma thread ya kionambele.
Nlishiriki uchaguzi wa kwanza, nakumbuka jinsi raia walivyokuwa wakimbeba mrema, lakini kumbe siku ya kupiga kura hawakwenda kupiga kura, yalipotangazwa matokea walilalamika wameibiwa kura. Na mwaka huu itakuwa ni hivyo hivyo, nshakutana na watu kama watano hivi, wao wamesema hawatapiga kura, wanaona ni kupoteza muda. Hao ndio baadae watakuja kulalamika kuwa CCM haikushinda kihalali.
 
umetoa somo zuri nimesoma mstari kwa mstari,zaidi umewasaidia CHADEMA wasije lalamika baadae
 
Kuna habari zinazunguka hapa mjini Arusha kwamba kuna gari limekamatwa sehemu za Kisongo zenye kura bandia na Wananchi wamelivamia kwa mawe.

Mwenye taarifa zaidi atupe habari!
utapata taarifa lakini na zenyewe zitakuwa ni uzushi mtupu...kwakuwa habari yako ni uzushi
 
kupiga mawe kila unapokuta mhalifu au mwizi wa kura ni uhalifu tu!!! No matter how much we support opposition movement, we should not take such acts of vandalism and ignorance lightly

Ni upuuzi kupiga mawe hovyo hasa siku hizi za mwisho... kwani atakayeshinda kwa huo uchafu ni CCM
 
Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

Nini cha kufanya:

Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....

Ballot paper cheat.jpg

Pia tembelea site ya Dr. Slaa http://www.wilbrodslaa.com/
 
Jamani tuwe makini sana njama ziko nyingi na nyingine zinapikwa ili kukinusuru chama cha mafisadi yaani uchaguzi mwaka huu mpaka kieleweke
 
inabidi wananchi wajiandae kwa kila aina ya mbinu ya wizi wa kura. Hii japo yaweza kuwa tetesi, lakini ni vizuri wananchi wakaandaliwa kukabiliana na wizi wa namna hii.
 
Nakuambia CCM hii itafanya mbinu yoyote ile ili ishinde....Ni wazi kuwa baada ya kushindwa kumchafua Dr. Slaa mbele ya jamii, sasa hivi wanaandaa mkakati mazubuti wa kulazimisha ushindi wakati wa kupiga/kuhesabu/kujumuisha kura!!! Naamini kuwa endapo mbinu zao chafu zitashidwa, basi tusishangae kusikia wasimamizi wa vyama vya upinzani wampewa chakula chenye dawa za kulevya ili angalau walale kidogo kuruhusu uchakachuaji hasa wakati wa kuhesabu/kujumuisha kura!!!!!!! Yetu macho na masikio..... tusubiri!!!!
 
Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

Nini cha kufanya:

Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....

View attachment 15583

Chukua kila tahadhari mpiga kura
 
karatasi ilivyokaa yaweza kutoka C kwenda B pia, so cha msingi yule mgombea anayeonekana ni tishio ndio sehemu ya kuliweka dole gumba lako, maana unaweza kukariri hivi kumbe real votes wakawa wameziweka kivingine.
 
Hilo zoezi dogo ntalifanya mkuu nilikuwa nafikilia nisugue kama vocha kumbe nikuweka kidole tuu poa!
 
Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

Nini cha kufanya:

Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....

View attachment 15583
-------

Ni muhimu sana kila mtu kumfahamisha mwenzake, hii ni nyeti endapo itakuwa ndio mbinu zao mpya! Hawa jamaa wapo tayari kutumia nguvu zote, hata ikibidi nguvu za giza siku ya kuhesabu kura! Mungu okoa nchi yetu na kiama cha watu hawa! Kupanga ni kuchagua....PAMOJA DAIMA!
 
Wana JF,
Habari hii ni uongo ulio waziwazi. Mfunyukuzi ametumwa na CCM ili awagribu mharibu kura zenu siku ya uchaguzi maana wanajua wananchi wengi watampa Dr. Slaa

Hii ni mbinu ya kuwadanganya mharibu kura zenu na ushindi apate Kiwete. Usidanganyike wana JF na wala msisambaze ujumbe huu kwa mtu yoyote ili watanzania wasije wakaharibu kura yao.

Ni wazi nia yake ni kuharibu kura ili wapate ushindi kiulaini.

HATUDANGANYIKI kura zote tick kwa Dr. Slaa
 
Duh jamani kwa kweli habari ndio hiyo kaka/dada mie nawakilisha tu kwani hata Mungu hapendi tuendelee kuumia na ninalitakia mema taifa hili siwezi potosha wananchi kama unavyofikiria
 
Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

Nini cha kufanya:

Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....

View attachment 15583

Ujinga mtupu. Uchaguzi ulopita chama cha cuf kilikuja na malalamiko kama hayo, wakaunda na tume kwenda nchini china kuchunguza tuhuma unazozisema wewe. Hadi leo tume hiyo haijarudisha majibu ya walichokwenda kuchunguza, na wewe leo unatuletea hadithi ilieile. Hizo ni dariri za kushindwa kwenu wapinzani kabla hata uchaguzi haujafanyika. Usiwajaze watu sumu na kuona kuwa kweli kura zimeibwa, huko ni kama kifo cha mfa maji asiyeisha kutapapa. Unajua fika kuwa ccm itashinda sas unaanza kutengeneza visingizo.
Soma hapa
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...tika-uchaguzi-wetu-tusitafute-visingizio.html
uone ni jinsi gani ilivyo ngumu kuiba kura.
 
mzeePunch uwa unaskiza habari wap?? hapo tunakataa iyo habari yako... hivi kwann nyie watu mnataka kufanya JF kawa ya kihuni??hiyo ishu ya gari ni nyingine ambayo dokta slaa aliisema ikiwa uku maeneo ya tunduma tena mpakani..
hivyo usiPotoshe UMMA

Habari kaileta Kevo na sio Punch
 
Kuna habari zinazunguka hapa mjini Arusha kwamba kuna gari limekamatwa sehemu za Kisongo zenye kura bandia na Wananchi wamelivamia kwa mawe.

Mwenye taarifa zaidi atupe habari!

Nafikiri unachanganya na Tunduma.. au?

Hebu fafanua vizuri... taarifa zako umezipata wapi...saa nagapi gari limepigwa na mawe...na habari zzinazunguka wapi?

....usije kuchanganya hizi habari na za tunduma ???
 
Back
Top Bottom