Kwanini ni rahisi Clouds FM kumpata Mh Rais kuliko taasisi nyingine?

Ametoka kuhudhuria mkutano wa "mama na mtoto" canada, anakuja kwenye "tamasha la bongo fleva" lililodhaminiwa redio ya wafu, akitoka hapo ataenda kwenye "ngoma ya kumtoa mwali" chalinze kama mgeni rasmi, "dhaifu" at his best.
 
Siamini kama naye ni msanii kama alivyowahi kusema Mh. Duni Haji huko nyuma lakini yuko karibu sana na wasanii, na clouds ni wasanii pia! ghj.jpg
 
Muache jamani ale ujana president wetu hamjui kule ndo wanakopatikana akina masogange, kamata, ray c, jay dee, linah, recho,na huyu, nani huyuuuuu frorah mbasha??? mi nimekuruhusu baba mkulu we wapige tu si wanataka wenyewe!!!!!
 
wewe ach kukariri lile tamasha awajaandaa clouds media limeandaliwa na wasanii wenyewe ila limedhaminiwa na cloudz... Umeelewa bro.

Kijana unaishi mji gani wewe? Hebu andaa wewe na wenzako afu umualike hata mbunge wako uone kam atakuja . hyo n mbinu ya kuishi mjin huenda hata hao wasanii wenyew wanaendeshwa tu .
 
maisha yenyewe mafupi niacheni mi nile ujana...wananiita popo nakesha kula ujana... By Ney wa Mitego!
 
nch ambayo rais ni mzito kwenye maamuzi/
anafumbia macho vgogo na walanguz/
vya msingi nyuma vya mbele vya kipuuzi na juzi alikuwa kwenye mcba wa b.muvi.
 
Mi nasikia eti mkulu ndiye mmliki halali wa clouds media group,,,
akina kusaga walimuuzia kitambo akaihamishia mikocheni kutoka pale kitegauchumi.
nasikiasikia tu lakini!!!
hiyo ndiyo redio ya watu a.k.a uhuru B fm
 
Kuna urafiki binafsi kati ya Ruge na JK ambao ni tangu hajawa Rais. Na ndio maana kampa studio ya kisasa pamoja na kulipia pango la jengo iliko studio kwa hela za uma.
Pia, ndio sababu Primetime kupitia Ruge imeweza kuwa ndio muandaaji wa majukwaa na vyombo vya muziki/sauti ya shughuli Za CCM Taifa pamoja na serikali.
Ndio maana ilikuwa rahisi kwa JK kukubali ombi la kuhudumiwa kwa Ray C, ambaye amempa mpaka gari ya kutembelea pamoja na kumuanzishia NGO.
Isitoshe kuna mpango wa kupelekwa masomoni USA baada ya kumaliza matibabu ya uteja mwezi Novemba
mwaka huu.
Lakini hii ndio aina ya mkuu wetu wa nchi, hawezi kutenganisha urafiki na wadhifa wake, na iko hivyo hata anapofanya uteuzi.
Ova
 
Kijana unaishi mji gani wewe? Hebu andaa wewe na wenzako afu umualike hata mbunge wako uone kam atakuja . hyo n mbinu ya kuishi mjin huenda hata hao wasanii wenyew wanaendeshwa tu .

Umemjibu vizuri sana. Ina maana anaamini kwamba Leka Tutigite ni ya akina Linex?
 
Usijali mkuu huo urafiki kikomo chake ni mwaka 2015,mzee wa watu atakua Msoga tuone kama watamwita kwenye matamasha
 
Back
Top Bottom